Wanafanya makusudi, wanajua mamilioni ya watanzania wanafuatilia kesi sasa wanakata sauti tusielewe kinachoendeleaKwani live imekubwa na nini? Mbona hatuoni kinachoendelea? Mliopo hapo mahakamani tunaomba mrejesho
Wameahirisha kwa sababu zipi?Kesi imehairishwa Hadi July 15
Ahsante mkuu maana nilikuwa bado nakodolea macho kwenye TVKesi imehairishwa Hadi July 15
Absolutely, Yes...Mwanzoni uliona NRNE ni UTOPIA.
Wakati hukufanya tathmini ya kutosha ya uwezo wa upande wa pili kuiishi hali husika/wanachukuliaje/act vipi kwa manufaa yao na taifa.
Hakuna kisichowezekana kama dunia inaendelea kuzunguka na kama unaamini katika mageuzi mara zote hayaji bila presha dhidi ya watawala.
Na kila unapotawala, fahamu pia unatawaliwa.
Kuna vitu vingi vya kujifunza kwa pande zote kwa tunayoyapitia na tunakoelekea. Hata yatakayofanyika yoyote hakuna ambaye angeona nia ya hayo kama vyama vyote wangesema twende ili tupate hisani ya majimbo.
Watawala waheshimu kura za wananchi ili wapate ridhaa zao na hiyo ni matokeo ya wanayowatendea wananchi. Mda wa kuishi kwa propaganda za amani bila haki hazipo, upeo wa watu umebadilika na vizazi vinabadilika.
Viongozi wafahamu waajiri wao na wawatendee kwa kadri ya hali halisi na si ulaghai. La sivyo uchaguzi utageuka kipindi kigumu cha kulia na kusaga meno kila mara.
Mzee uko nyuma sana. Tulikuwa live ITVUnajua ku edit
achaga umbea kenge we, aliyekuambia ni mnyiramba nani?Domokaya la kinyiramba
Ikiwa ni kweli kuna tatizo lolote labda juu ya hilo?Nilisoma mahali kwamba kesi zake na za Chadema sasa zitapata usaidizi kutoka kwenye kampuni ya Kimataifa ya Sheria Amsterdam & Co ni kweli?
Hata wewe utwatwaliwa kila mtu atwatwaliwa hata mimi nita twaliwa.Hivyo huu sio unabii ni realitysiku ya kuachiwa Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi? ila siku ya kutwaliwa kwake pia imetabiriwa Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?
P
Tunaomba mrejesho, mimi nilikuwa ninafuatilia live ITV ila wamekata matangazo
Sikujua kama ni break ya kupata lunch ndiyo maana matangazo yakakatwa, ila kwa sasa niko live ninafuatilia kama wale wengine wa black house wanavyofuatilia jambo hili.
Huyo **** ya kale mkaushie hao ndio hufirwa ili wapate teuziMajinga kama hili yanakuwaje member humu
Kazi ya kuufanya uongo uonekane ni ukweli ni ngumu sana.Hata ungekuwa wewe wakili wa serikali ungeonekana kilaza
Ooh hiyo ni fact bossUnajua ku edit
Utabiri wako haukutimu Paschal.siku ya kuachiwa Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi? ila siku ya kutwaliwa kwake pia imetabiriwa Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?
P
Cc chalii wa ara Chaliifrancisco Deeboyfrexh Alexander The Great GWAMAKA USWEGEMzee uko nyuma sana. Tulikuwa live ITV
Nilisoma mahali kwamba kesi zake na za Chadema sasa zitapata usaidizi kutoka kwenye kampuni ya Kimataifa ya Sheria Amsterdam & Co ni kweli?