GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata wewe utwatwaliwa kila mtu atwatwaliwa hata mimi nita twaliwa.Hivyo huu sio unabii ni reality
Ahsante Paschal Mayala kunielewa nimegundua wewe ni muungwana japo group hili nimegundua una watani wengi mno wanakupigaga madongo sijawahi sikia unarudishia kwa maneno yasiyo na mantiki
 
Ngoja tuone hiyo tar 15/7/2025 jamuhuri itakuja na swaga gani
 
Sasa mkuu kwani hizi reforms zimeanza kipugiwa kelele leo?hauini kutumia mbinu zile zile nikupitezeana muda tu approach ibadilike na kama tuna nia na Taifa letu ziko sababu zakusogeza uchaguzi mbele kwa utashi wakufanya mabadiliko lakini tunajificha na katiba ambayo tumekua tukiivunja katika nyanja kibao nakukaa kimya lakini kwenye uchaguzi iweje kua dhambi na uone watu ni mypic? Huko nikudharau watu na ninuendelezo wakujiona mna akili nyingi na mnajua kuliko mwengine yeyote hamna political will na dhambi zenu ndio zinawapa hofu kua Haki ikipatikana mtasimama kwenye nafasi gani mko radhi mtetee kwa maslahi yenu ya hapa na pale huko sio kuona mbali bali ni ubinafsi na usaliti mkubwa dhidi ya Nchi na wananchi


No reform No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…