Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Zwazwa la mamaAmepata fundisho.Siasa za kukinukisha hazina nafasi Tz.
Zwazwa la mamaAmepata fundisho.Siasa za kukinukisha hazina nafasi Tz.
Mtoto wa kiume unakula mchana? Kwani unanyonyesha?magu hakuenda huko usa na ulaya nini kilibadilika
Nini kimekugunisha?aaah
Chuki haisaidii inaumiza hasa akiachiwa huru.Domokaya la kinyiramba
Mi nataka aachiwe huru walau atie,siku zote hizo apige nyeto!Chuki haisaidii inaumiza hasa akiachiwa huru.
Mbona swali kwa swali badala ya jibu!!Kuna sheria inakataza mtuhumiwa kuwekwa pamoja na waliohukumiwa kunyongwa!?
Tanzania tuna tatizo kubwa la watu wengi kutokuona mbali,mypia,wengi wenu ni mypic,hanuoni mbali,na wengine ni just too blind to see!。Bila reforms mkuu?
Uzuri tushayajua ma political scavengers hadi sasa
No reform No Election
Muandalie kinyeoMi nataka aachiwe huru walau atie,siku zote hizo apige nyeto!
Mkewe hana kinyeo,au umechoka kumpa kinyeo unataka nimpe mimi!?Muandalie kinyeo
Safari hii hata ile kura yako moja itasomeka 0 😂😂😂Ni kweli,bado najitafakari
P
ACHA maneno andaa kinyeo kishughulikiweMkewe hana kinyeo,au umechoka kumpa kinyeo unataka nimpe mimi!?
Wachukue nchi kama wameokota siyo!Tanzania tuna tatizo kubwa la watu wengi kutokuona mbali,mypia,wengi wenu ni mypic,hanuoni mbali,na wengine ni just too blind to see!。
Ukisusia kitu,uwe na malengo kuwa unasusia jambo fulani ili kupata kitu fulani au kutimiza lengo fulani。
NRNE was a pressure group with a slogan kupresure reforms ili kuwatisha watawala kuwa bila reforms,mtakinukisha mpaka uchaguzi usifanyike!。
Mamlala zetu zilivyo mamlaka jinga,zikatishika,na kuamua kumhifadhi kinara wa kukinukisha pahala salama kwa kumbambikia kesi mbaya ya uhaini ili kuhalalisha kumshikilia hadi uchaguzi upite!。
Nimesema mamlaka zetu ni mamlaka jinga kwa kumzushia kesi ya uhaini,uhaini sio maneno,uhaini ni matendo, actus reus yenye mens rea ya mipango mkakati kupindua serikali!maneno ni sedition tuu!。
Sasa kwa vile Bunge limeishavinjwa,there is no way kutafanyika reforms yoyote,hivyo sasa ni wakati wa Chadema ku disband NRNE, waingie kwenye uchaguzi na kuchukua nchi kama wameokota!。
P
Huo ndio udhalimu wa serikali ya CCM.hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachia
Nielekeze jinsi ya kuandaa mzoefuACHA maneno andaa kinyeo kishughulikiwe