implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Nini wamaanisha mayala,je kama ndivyo kuachiwa au kutoachiwa kwake,kuna usianaje na uchaguzi? Je kuna shinikizo toka jumuiya ya kimataifa?
Nini wamaanisha mayala,je kama ndivyo kuachiwa au kutoachiwa kwake,kuna usianaje na uchaguzi? Je kuna shinikizo toka jumuiya ya kimataifa?
Natamani Lissu ashiriki uchaguzi amhenyeshe Bi. Mkora mpaka ajinyee jukwaa
Lissu ni mnyiramba?Domokaya la kinyiramba
Atakuwa hana taarifa sahihi huyu!Lissu ni mnyiramba?
Atulie sisi tunasubiri muda ufike tuAtakuwa hana taarifa sahihi huyu!
Mkuu Erythrocyte hii kesi itakuwa mubashara kupitia television pia?View attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
Mbowe aliacjiwa kwa shinikizo la jumuia ya kimataifa. Maalim aliachiwa na mahakama kwa kuwa kesi ilikosa msingi wa kisheria. Mahakama ilitamka kuwa hakuna uhaini unaoweza kufanyika dhidi ya Zanzibar kwa sababu siyo dola.Mbowe aliachiwa kwa shinikizo?..seif na akina duni waliachiwa kwa shinikizo!?..hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachia
Bila kufanyika reforms Chadema haitashiliki uchaguzi acha kupotosha;
Kwahiyo ukiwa unajiamini alafu ukatendewa kinyume na haki unatakiwa ukae kimya kisa tu unajiamini?Alilia kuwekwa na wsliohukumiwa kunyongwa,anayejiamini hawezi lilia hilo
Kaka sijakuona ukichukua fomu Kawesiku ya kuachiwa Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi? ila siku ya kutwaliwa kwake pia imetabiriwa Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?
P
Ataachiwa. Huku nje washabanwa na kesi shughuli ya NRNE imekwama. Washindani wao hawana cha kuhofia.Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inatarajiwa kutajwa leo Julai 1, 2025 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Juni 16, 2025 Kesi hiyo iliahirishwa kutokana na Mawakili wa Serikali, kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga kuomba ahirisho baada ya kuieleza Mahakama kuwa jalada la kesi hiyo lipo kwa DPP analipitia kisha atatoa taarifa kuhusu upelelezi ulipofikia na kama kesi hiyo iende Mahakama Kuu au hapana.
Ikumbukwe katika shauri hilo ambalo limekuwa likitajwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Lissu alitangaza kujitetea mwenyewe akidai kuwa hakuwa hakuna mazingira rafiki ambayo yalikuwa yamemuwezesha kukutana na Mawakili wake ambao walikuwa wakienda Gerezani.
Hata hivyo hivi karibuni ilitolewa taarifa kuwa Lissu amepata fursa ya kuonana na Mawakili wake akiwa Gerezani.
Ni kweli,bado najitafakariKaka sijakuona ukichukua fomu Kawe