GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni vile serikali za CCM hazina aibu kwa kufanya uhuni wa wazi wazi. Inamtuhumu raia, inamkamata na kumfungulia kesi kisha inamwachia kwa madai ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi!. Hii ni zaidi ya uhuni.
 
View attachment 3389661

Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.

Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe

View attachment 3389660
Three key elements are necessary for an offense to constitute treason:
1. An obligation of allegiance to the legal order, and
2. Intent to violate that obligation and
3. Action to violate that obligation.

Treason is a breach of allegiance and of the faithful support a citizen owes to the sovereignty within which he lives.

kati ya hayo Lisu katenda lipi?

In Tanzania, treason, as defined in sections 39 and 40 of the Penal Code,

1. involves acts that betray allegiance to the United Republic. These acts can include: levying war against the state,

2. attempting to cause the death of or bodily harm to the President, or

overthrowing the government by unlawful means.

Specifically, treasonous acts involve overt acts or deeds, such as publishing writings or expressing intentions through actions that demonstrate an intent to overthrow the government or harm its leaders
 
Alilia kuwekwa na wsliohukumiwa kunyongwa,anayejiamini hawezi lilia hilo
Yeye anataka sheria inavyosema na sio matakwa yenu ya kijahili. Hata wewe aje mtu akutie mb*oo ya mdomo wakati sio mahala pake ni lazima utakataa na kupinga wakati huko sio sheria inavyotaka uekewe hilo mbolo.
 
Haitakiwa mchana Wala Usiku isipokuwa hofu, mashaka na wasiwasi huku sauti za ndege na wanyama wengine zikiwa kimya na upepo mkali wenye vumbi.
Bwana jela akifungua kufuli huku akimnong'oneza kitu mtuhumiwa naye akatabasamu ...
 
Mbowe aliachiwa kwa shinikizo?..seif na akina duni waliachiwa kwa shinikizo!?..hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachia
Maana yake sio kw makosa wanayoyafanya bali kuwakomoa tu? Kwa hivyo naomba sana Mungu awapige laana wote wanaotumia na kutekeleza haya maonevu na miongoni mwa wanafurahi hayo. Wewe ukidhulimiwa utafurahi sana kumbe.
 
Back
Top Bottom