Nyundo ya shujaa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2025
- 399
- 547
。Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?Kutwaliwa nani,dada kama alivyotwaliwa kaka,au kutwaliwa mnyaturu?
Wakimwachia sio kwa hiaru bali shinikizo kutoka nje na mbinyo wa EU
Mnyaturu wanaweza wakamtwaa kweli, ikiwa hivyo sijui vikwazo sijui vitu gani toka kwa mabeberu vitafanyika,sioni wakimuacha,watamtoa halafu watamtwaa.。Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?
Pia kutwaliwa kungine kuliko tabiriwa ni kutwaliwa huku Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili
P
Mbowe aliachiwa kwa shinikizo?..seif na akina duni waliachiwa kwa shinikizo!?..hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachiaWakimwachia sio kwa hiaru bali shinikizo kutoka nje na mbinyo wa EU
Mbowe ni shinikizoMbowe aliachiwa kwa shinikizo?..seif na akina duni waliachiwa kwa shinikizo!?..hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachia
🤣🤣🤣Yes
Yule shoga
Ulifikiri jasiri ni yule anayekubali kudhurumiwa haki yake na harafu asiseme?Alilia kuwekwa na wsliohukumiwa kunyongwa,anayejiamini hawezi lilia hilo
Seif sharif na wenzie?Mbowe ni shinikizo
Halafu siyo harafuUlifikiri jasiri ni yule anayekubali kudhurumiwa haki yake na harafu asiseme?
Anajiteteaje mahakamani pekee yake kama siyo ujasiri?
Usihangaike na huyo mshambaMbowe ni shinikizo
Hujui lolote kapuku wa akili we!Seif sharif na wenzie?
Kwamba kimeumanaLissu ataachiwa huru ila waliomkamata watakamatwa
Acha kutoka Siri Mkuu!Kesi ya lisu inawaponza ccm kila siku. Wanajikwaa kwake na kuanguka. Wangekuwa na uwezo wa kuona mbali wangemwachia huru afanye siasa zake kuliko kumshikilia huku wakizidi kujiweka mahali pabaya. Uliona wapi mtu anapanda cheo akiwa gerezani? Halafu wewe unazidi kumshikilia. Ccm mjitafakari kuna vitu mnalazimisha lakini haviwezi kuwa.
Swali lako ni la kijingaKesi itaendeshwa kwa kiingereza?
Mbona unawashwaeashwa sana, kachukue form za ccm mapema kabla ya waganga hawajakengeuka , wenzako tiyari wameanza huko wewe upo na chadema.Mnyaturu wanaweza wakamtwaa kweli, ikiwa hivyo sijui vikwazo sijui vitu gani toka kwa mabeberu vitafanyika,sioni wakimuacha,watamtoa halafu watamtwaa.
Kuhusu kutwaliwa dada,hiyo ni scenario mbaya,hasa ukizingatia nyendo na kauli toka vigangoni
1990s wakati waislam wanaharakati zao,walidhihakiwa watafanya nini kwani, maana vurugu kipindi hicho zilitegemea vifaru,ndege vita na ak 47,ikaonekana waislam wangevipata wapi
Leo ghafla kuna alshabaab,mara kibiti,watu mahiri ajabu kwa shabaha,leo kuna drone,huhitaji mig,sukhoi,cheng du
Akitwaliwa dada basi huenda itakua kumwagia nyasi petrol,ni kiberiti tu kinachohitajika kuharibu kila kitu
People should keep their ego with them
Kesi ya kwanza ya aina yake DUNIANI ya Uhaini kuwa na mshtakiwa mmoja tuu.Ni uhaini mkuu
Ili mradi umeelewa!Halafu siyo harafu
Acha hizoAlilia kuwekwa na wsliohukumiwa kunyongwa,anayejiamini hawezi lilia hilo