LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Mungu ambariki sana TALView attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea MwenyeweβπΏβπΏβπΏπͺπΏπͺπΏπͺπΏπ₯π₯π₯π₯π₯View attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
Ni vile serikali za CCM hazina aibu kwa kufanya uhuni wa wazi wazi. Inamtuhumu raia, inamkamata na kumfungulia kesi kisha inamwachia kwa madai ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi!. Hii ni zaidi ya uhuni.siku ya kuachiwa Voices From WithinοΌTundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi? ila siku ya kutwaliwa kwake pia imetabiriwa Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa TanzaniaοΌ2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa UongoοΌ
P
NRNEView attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
HahahahKutwaliwa nani,dada kama alivyotwaliwa kaka,au kutwaliwa mnyaturu?
Ni ajabu, lakini ni kama "Jamaa" ndiye aliye yabeba matumaini yote ya waTanzania kwa wakati huu!View attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
Ugaidi au Uhaini?
Mfalme hajui kama yuko uchi na wanaomzunguka wanaona aibu kumwambia kuwa yuko uchi. Mashahidi wa mchongo kwa aibu wanaficha sura zao. Mbona kesi za mauaji mashahidi hawafichi sura zao?Kesi itaendeshwa kwa kiingereza?
Ukweli unaweza kuutukana, kuukataa, na kuuchafua lakini ukiouosha kwa maji kidogo tu unarudia kuwa ndiyo ukweli ule ule. Lissu ni mkweli domo kaya ni lako mwenyewe.Domokaya la kinyiramba
Three key elements are necessary for an offense to constitute treason:View attachment 3389661
Hii kesi itakuwa Mubashara, kwahiyo kila mmoja atajionea Mwenyewe hoja kabambe.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea Mwenyewe
View attachment 3389660
Chief ππππ€£π€£π€£
Una chuki ambazo hazina maana Comrade.
Yeye anataka sheria inavyosema na sio matakwa yenu ya kijahili. Hata wewe aje mtu akutie mb*oo ya mdomo wakati sio mahala pake ni lazima utakataa na kupinga wakati huko sio sheria inavyotaka uekewe hilo mbolo.Alilia kuwekwa na wsliohukumiwa kunyongwa,anayejiamini hawezi lilia hilo
Maana yake sio kw makosa wanayoyafanya bali kuwakomoa tu? Kwa hivyo naomba sana Mungu awapige laana wote wanaotumia na kutekeleza haya maonevu na miongoni mwa wanafurahi hayo. Wewe ukidhulimiwa utafurahi sana kumbe.Mbowe aliachiwa kwa shinikizo?..seif na akina duni waliachiwa kwa shinikizo!?..hizo kesi serikali watakupa Ili kukutia shida kisha watakuachia