PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kutinga ndio kufanya nini??
 
Mpakwa mafuta wa Bwana huyu.

Si unajua ikitokea mahasimu wa Rais Samia Suluhu wakamdhuru TL lawama zitaenda kwa Samia Suluhu?

Hivyo basi anawajibu wa kumlinda kwa nguvu zote ili asiwape loophole maadui zake
Kumbe anapakagwa mafuta huyu Lissu!!?? Nilikuwa silijui hilo!
 
Inasema kuwa mtuhumiwa aachiwe akalale kwake na jamhuri watakapokamilisha upelelezi ndio wamfikishe mahakamani mtuhumiwa, wasifanye haraka kwenda mahakamani kabla hawajajipanga.
asante kwa ufafanuzi,

sasa mbona hawamwachilii na hawajakamilisha upelelezi wao?
 
Hii ni id mpya ya mzee Mgaya?
 
Ndugu uani sio jambo la kawaida,atujui Lissu na CHADEMA wanampango gani asa na marafiki zao wa IDU na EU
 
SHU
SHUHUDIA LIVE KUPITIA I TV DAIMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…