Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

Huyu mzee leo amefungua kichwa yangu kwa mambo mengi sana, yaani mpaka hapa simdai kitu, nimeshapata picha ya mchezo mzima, Hii nchi ngumu sana Wallah
 
Nimeona mengi hayasaidii case yake.
 
Wameyataka Ngoja wayaone SSH Apelekewe samasi haraka sana tunamta Sana mahakamani ,tumemmisi , lazima kujua hakuna alie juu ya sheria katika JmT
 
Nachoona wale waliowahi kumfuata ukonga either kupeleka ujumbe kwake au kumahawishi kivyovyote vile iwe for pesa au maridhiano jamaa anakwenda kuwataja mmoja baada ya mwingine na kujenga hoja kwamba yeye sio muhaini, muhaini hawezi shawishiwa namna ile
 
Mkuu misimamo yako hapa JF inakupambanua vizuri wewe ni mtu wa aina gani. Usitumie muda mwingi kujieleza kwani unajulikana vema. Wewe na genge lako haramu Mungu anawaona. Damu za watanzania mlizomwaga MO29 zipo juu ya roho zenu zinawalilia. Hamuwezi kubaki salama kiakili na kisaikolojia.
 
just relax gentleman,
huna haja ya kuweweseke wala kuleta porojo au ramli zako useless dhidi ya maoni yangu huru.

punguza mihemko na makasiriko useless kwenye mijadala na itapendeza zaidi zaidi 🐒
 
just relax gentleman,
huna haja ya kuweweseke wala kuleta porojo au ramli zako useless dhidi ya maoni yangu huru.

punguza mihemko na makasiriko useless kwenye mijadala na itapendeza zaidi zaidi 🐒
Uchoko na uquma wa CCM umekujaa kila mahali mkuu. You need to grow up gentleman.
 
Kama mimi ningekuwa lissu mara baada ya kutoka na kufanikiwa kutwaa kiti cha uraisi asee mbona CCM wote watakimbia nchi
 
Uchoko na uquma wa CCM umekujaa kila mahali mkuu. You need to grow up gentleman.
ikiwa kutukana na kuporomosha matusi kuna kupa ahuweni ya mihemko yako, ongeza bidii zaidi gentleman,

but to me that's nonsense 🐒
 
Noamba wamuachie tu 😭😭jamaa kachakaa ,halafu kachoka sana ,kaguta atammaliza mzee wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…