Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,053
- 3,612
Mi huwa najiuliza....Kwa hivyo unaamini Lissu alitaka kupindua serikali ya Samiah, ila Magufuli kuhusika na kumpiga risasi Lissu unakataa. We kweli mnafiki sana.
Imepangwa operation ya namna hiyo ya kuuwa mbunge wa Jamuhuri ya Muungano... Zinamwagwa risasi zaidi 35.. eneo la Serikali...
Halafu Rais hujui chochote juu ya mpango huo ? Inamaana utakuwa Rais kilaza sana
Dikteta Magu alijua Kila kitu..na alitoa ruhusa ya roho ya mtu kuchomolewa...na ndio maana alisema kwenye vita msaliti askari wanajua wafanyeje... Akilenga hili shambulio