maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Wanakulamba hiyo puru Chawa la lumumba buku7relax tu ukiwa pointless gentleman na itapendeza zaidi![]()
Wanakulamba hiyo puru Chawa la lumumba buku7relax tu ukiwa pointless gentleman na itapendeza zaidi![]()
Lissu siyo chawa hivyo kama unataka kuona maneno ya rangi unayoyapenda sahau. Hayo mambo kamwambie mumeo akuambieSina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Hili suala linabidi likomeshwe imekuwa kama utaratibu ikiwa inakaribia Uchaguzi kesi za upinzani zinafunguliwaMaelezo ya Lissu, ni uthibitisho tosha ccm inatakiwa kutoka madarakani haraka iwezekananavyo! Ikibidi hata kwa kutumia nguvu ya umma.
Siku nashambuliwa wale walinzi wote hawakuwepo na mageti yalikuwa wazi, na nilikuwa nimetoka Bungeni wale watu wanifuatilia tangu natoka Bungeni hadi nafika nyumbani.
Nikiwa kwenye Parking hapo ndo walinipiga Risasi 16, hizo risasi 16 ndizo zilizozaaa operation 25 na natembea na risasi 1 kwenye uti wa mgongo na Madaktari wamesema ni hatari kuitoa hivyo naishi nayo.
Hakuna aliyekamatwa wala kushitakiwa na hadi leo sijawahi kuitwa na Polisi kwenda kuhojiwa lolote kuhusu tukio hilo.
Nilikuwa mtu wa kufa.
Sasa Waheshimiwa Majaji, Mungu sio Athumani. SIKUFA.
Mbeba maono hafi!Uchaguzi wa Serikali za mitaa unasimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Basically unasimamiwa na Rais Mwenyewe. Waziri wa TAMISEMI ni Rais mwenyewe maana ipo ndani ya Ofisi ya Rais. Hiyo ni kwa mujibu wa sheria.
Aliyetunga sheria za Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2024 ni Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia, Wanaosimamia kila kitu ni Wakurugenzi na watu wao wa chini.
Kwenye uchaguzi ule wa 28 November, wagombea wa upinzani walienguliwa na leo hii asilimia zote Viongozi wa Vijiji na Mitaa ni maCCM.
Mahali ambapo watu walibisha bisha walikutana na risasi za Mapolisi sasa kama unaua Mwenyekiti wa Kitongoji asigombeee kwenye uchaguzi Mkuu utafanya nini?
Well said🙏Aisee urafiiki huu ni Mungu anajaribu kuwa karibu na wewe kwa namba ya Marafiki lakini anakuwa ni Mungu Mwenyewe
Hakuna mambo ya kubembelezana lisu Magufuli aliasisi haya yoteNafikiri hujanielewa, ni kwamba kwa upande wangu nilikuwa naona ni vyema kulitumia Jina la hayati kujenga hoja nzito za utetezi siyo kama anavyolitumia kama kumkejeli. Kuna sehemu kasema fulani alikufa mimi nikabaki, halafu anasema fulani alikuwa anakata upepo anapepewa wakati ni uongo ni kutafuta vicheko lakini siyo kujenga hoja za utetezi. Ni maoni yangu lakini
Watu wote waelimikeWaruhusu iwe live redioni na kwenye Tv stations
Mkuu hii ndio kazi ya ukweli, ukweli huwa Mgumu Sana kuupokea, naona hata Wewe unapata shida kuupokeaSina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Lissu amepitia mtihani mingi, na ktk mtihani yoote alishinda hadi Wa Ireland wa bonde la rufijiLiss is another level. Kumbe watu hufungwa kwa kutojiamini. Lissu atatoka labda wamfanyie uhuni. Kufkia hapo hajamtaja samia saana. Yaan amepigana vita awamu zote na bado anaendelea tu. Mungu akusaidie
Nafikiri hujanielewa, ni kwamba kwa upande wangu nilikuwa naona ni vyema kulitumia Jina la hayati kujenga hoja nzito za utetezi siyo kama anavyolitumia kama kumkejeli. Kuna sehemu kasema fulani alikufa mimi nikabaki, halafu anasema fulani alikuwa anakata upepo anapepewa wakati ni uongo ni kutafuta vicheko lakini siyo kujenga hoja za utetezi. Ni maoni yangu lakini
Huyu amekomaa ajiteteee ajiteee. Najiuliza Lissu kujitetea mwenyewe yeye anateseka na nini?Tundu Lissu ni mwanasiasa anajiamini na anaamini kwenye uwezo wake kuliko mtu mwingine yoyote, namna atakavyojitetea mwenyewe ni tofauti na mtu mwingine atakavyomtetea ndio maana akaamua ajitetee mwenyewe.
Ameamua kutokuwa mnafiki. Anaeleza kitu kama kilivyo siyo kama kundi fulani linavyotaka kusikia.Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Ila alivyokaa karibia miezi 6 bila kumpandisha mahakamani hamkuona kuwa mnampotezea muda?ni muhimu akatiwa hatiani kulingana na makosa yake, hizo porojo nyingine ni za kupotezeana wakati tu gentleman 🐒