Silent King
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 163
- 366
Sasa kumbe ulikuwa unajua,sasa kilichokufanya useme ulichosema pale mwanzo ni nini?Ni mwanasheria. Yes it make sense. Kuhusu yeye ni nani. Na kwamba ni kawaida yake kubambikiwa kesi.
Sasa kumbe ulikuwa unajua,sasa kilichokufanya useme ulichosema pale mwanzo ni nini?Ni mwanasheria. Yes it make sense. Kuhusu yeye ni nani. Na kwamba ni kawaida yake kubambikiwa kesi.
kwamba wewe unajua kuliko TL, majaji wenyewe wanajifunza kwa jamaa wewe kilaza utajua nini? alafu utakuta sheria umesomea tofilo kisanjiSio kujitetea kama shahidi, hilo lipo wazi Lissu ni shahidi no Moja. I mean angekua na wakili wa kumtetea (defense attorney) ili iwe rahisi kwake kujitetea. Case hii ni nzito Kuna wakati anapanic sana.
Kabisa,Aliwapiga chenga Mawakili ndumila kuwili wanaoyofanya kazi ki double agent
kwa wenye akili ndogo kama mimi na wewe ila kwa jamaa yuko vzr sanaKesi kama hii inaitaji kwanza utulivu wa Akili
Kitu ambacho Lissu pale alipo hana
Japo anajaribu kujionyesha yupo sawa kikamilifu kiakili 💪‼️
lkn kitendo cha kutokea Lupango chenyewe tu hawe yoyote lazima utakwama kiutulivu kutokea Lupango kunakutoa Mchezoni %60
Fuatilia hii kesi, George Junius Stinney Jr ili usijiaminishe kuwa yatakuwa maamuzi mepesi kumnyonga TAL.nadhani uamuzi wa mwisho wa jopo la majaji ndio itakua hotuba nzito, fupi na ya maana zaidi ulimwengu unapaswa kuipa attention kuliko kumbwelambwela kwa huyo kibaraka mropokaji 🐒
Lets seeFuatilia hii kesi, George Junius Stinney Jr ili usijiaminishe kuwa yatakuwa maamuzi mepesi na yasiyo kumnyonga TAL.
Untill hanged!No retreat no surrender ✌️
Kabisa. We wait.Lets see
ni muhimu akatiwa hatiani kulingana na makosa yake, hizo porojo nyingine ni za kupotezeana wakati tu gentleman 🐒Fuatilia hii kesi, George Junius Stinney Jr ili usijiaminishe kuwa yatakuwa maamuzi mepesi kumnyonga TAL.
Yes,Kumbe akili kisoda wewe,
Hujaona majaji wenyewe wanaomba subira waandike hayo madini ya TAL??
👇
ok.Tangu nilipoambiwa hii akaunti ni ya kundi... Huwa napita tu maana hujui unajibishana na mtu mmoja ama kundi Zima😄😀😆
Jamaa ni hatari sana huyu mtu dah.Kwenye hili nimekubali Lissu ana akili nyingi sana. Mimi nilidhani ataenda Moja kwa Moja kwenye maneno ya nitakinukisha.
in fact anaeleza vitu nonsense na ambavyo vingi having uhusiano wowote na anachotuhumiwa nacho.Naona kiongozi wa jopo la majaji (Jaji Ndunguru) anamkazania mtuhumiwa amalize ushahidi wake haraka! Ni kwamba anawachosha, kumsikiliza au tayari wana hukumu yake wameshamuandalia pembeni?
Mbona kule nyuma mawakili wa serikali walipo poteza muda kupitia njia mbalimbali, hatukona akiwakazania kiasi hiki cha leo!
Hukumu iko mezani kwao tayari.Naona kiongozi wa jopo la majaji (Jaji Ndunguru) anamkazania mtuhumiwa amalize ushahidi wake haraka! Ni kwamba anawachosha, kumsikiliza au tayari wana hukumu yake wameshamuandalia pembeni?
Mbona kule nyuma mawakili wa serikali walipo poteza muda kupitia njia mbalimbali, hatukona akiwakazania kiasi hiki cha leo!
Unaonekana wakisema ahukumiwe kunyongwa,utafurahi sana! Kumbuka:Kipimo unachopimia wenzako ndicho utakachopimiwa.kama wewe ndie mfuatiliaji basi kibaraka anakwenda kushindwa na kuhukumiwa kifungo jela na kunyongwa hadi kufa mapema zaidi 🐒
Watazamaji wa kimataifa wa uchaguzi wakasema bila mabadiliko ya Katiba mpya na sheria ya uchaguzi, 2025 itakuwa maafa.
Kumbe maccm walishaonywa kabla ila walikomaza mafuvuWalisema Tanzania haina uwezo wa kuendelea kuendesha uchaguzi bila maafa kama hawatakuwa na Katiba mpya, tena ya Warioba, na Tume huru ya uchaguzi.
Nimemuelewa Jaji Ndunguru : Anajua waliomleta hawapendi Lissu apate jukwaa la kuhutubia watanzania.Naona kiongozi wa jopo la majaji (Jaji Ndunguru) anamkazania mtuhumiwa amalize ushahidi wake haraka! Ni kwamba anawachosha, kumsikiliza au tayari wana hukumu yake wameshamuandalia pembeni?
Mbona kule nyuma mawakili wa serikali walipo poteza muda kupitia njia mbalimbali, hatukona akiwakazania kiasi hiki cha leo!
sheria ipo na ndivyo inavyotaka mtuhumiwa kutendewa, sasa unafurahi au kusikitika na kitu kiko hivyo tangu tupate uhuru?Unaonekana wakisema ahukumiwe kunyongwa,utafurahi sana! Kumbuka:Kipimo unachopimia wenzako ndicho utakachopimiwa.