Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

okay,
anawataja hata ambao hawamjui na wala hawasaidii chochote kwenye kinachomkabili, dah.

kifo cha nyani ni cha fedheha sana aise, miti yote huteleza 🐒

Gentleman wewe ni mwanasheria? 😊
Sheria ni taaluma, hapo TL sio Mshitakiwa, yupo kwenye kizimba cha Ushahidi na hapo anajenga msingi wa ushahidi "preliminary evidence building" juu ya mshitakiwa ambaye ni yeye. Ni vizuri lujua yeye ni nani, jipeni subra msikilizeni, mnawahi wapi??😊
 
ndio,
endelea kuifanya kazi yako ndugu mtuhumiwa, ili hatimae na majaji nao waendelea kufanya kazi yao ya kutoa haki bila kuwachelewesha kwa porojo ambazo hazikusaidii 🐒
Wewe nabii Tito, unaita kuteteta wananchi porojo?. Uliokuwepo 1998? 2002? Wakati Lissu anapigania haki za kimazongira?. Uwe na heshima hata kidogo.
 
Nipo kwenye fani ya sheria. Wakati majaji wakifanya uchambuzi wa ushahidi wake, hiyo list ya waliolaani shtaka lake linamchomoa vipi?
P.s ngoja tusubiri ushahidi wote.
Inakuwaje mwanasheria unataka hitimisho la haraka pasipo kujenga hoja nzito ya kulifikia hilo hitimisho! Yaani hadi mimi Bush lawyer nakushinda!

Angekuwani Lissu angekuambia "punguza kiherehere basi, huko sijafikia bado" kama alivyomwambua Bwanajela wa Ukonga anakoshikiliwa.

Wewe kwa sasa kula tu mtori, nyama utazikuta chini.
 
Ni mwanasheria. Yes it make sense. Kuhusu yeye ni nani. Na kwamba ni kawaida yake kubambikiwa kesi.

Huwezi uliza swali kama ulilouliza hapo juu, kama wewe ni mwanasheria. Yaani wewe hujui shahidi anapoeleza historia/anamjua vipi mshitakiwa ni ushahidi!!!
Wewe kama mwanasheria hujui kwamba historia yako, ikibainisha makosa unayoshotakiwa nayo yanaongeza adhabu?

TL hapo ni shahidi anaeleza namna anavyomjua mshitakiwa, kumjua mtu ni pamoja na kujua historia yake kwenye suala analoshitakiwa nalo.
 
okay,
anawataja hata ambao hawamjui na wala hawasaidii chochote kwenye kinachomkabili, dah.

kifo cha nyani ni cha fedheha sana aise, miti yote huteleza 🐒
Anatoa utetezi wake na Wala hata hajaaingia kwenye mambo ya msingi umeanza kelele. Nadhani nafsi inakusuta kumchukia mtu anayepambania watanganyika.
 
Inakuwaje mwanasheria unataka hitimisho la haraka pasipo kijenga hoja nzito ya kulifikia hilo hitimisho! Yaani hadi mimi Bush lawyer nakushinda!

Angekuwani Lissu angekuambia "punguza kiherehere basi, huko sijafikia bado" kama alivyomwambua Bwanajela wa Ukonga anakoshikiliwa.
Hahaha 😂
Ningekua yeye ningejikita kwenye uhaini. Lakini sijui kwanini Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hiyo case ni nzito na tena ya uonevu. Angekuwa na wakili wake kwa maoni yangu angejitetea vizuri zaidi.
 
Huwezi uliza swali kama ulilouliza hapo juu, kama wewe ni mwanasheria. Yaani wewe hujui shahidi anapoeleza historia/anamjua vipi mshitakiwa ni ushahidi!!!
Wewe kama mwanasheria hujui kwamba historia yako, ikibainisha makosa unayoshotakiwa nayo yanaongeza adhabu?

TL hapo ni shahidi anaeleza namna anavyomjua mshitakiwa, kumjua mtu ni pamoja na kujua historia yake kwenye suala analoshitakiwa nalo.
Hongera kwa ufafanuzi mkuu
 
Sheria ni practice mkuu. Nipo kwenye corporate, criminal sio kihivyo. Nimeelewa dhana hiyo.
P.s. Mimi ni mwanasheria/wakili tangu 2010.
 
Hahaha 😂
Ningekua yeye ningejikita kwenye uhaini. Lakini sijui kwanini Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hiyo case ni nzito na tena ya uonevu. Angekuwa na wakili wake kwa maoni yangu angejitetea vizuri zaidi.
Duh! Hapo Lissu anatoa ushahidi wake kwanza. Wapo mashahidi watakaokuja kwa upande wake. Hutaki Lissu ajitete kama shahidi?
 
Hakuna wakili anayemzidi TAL kwa maarifa na ujuvi wa Sheria ndio maana anajisimamia mwenyewe.
 
Duh! Hapo Lissu anatoa ushahidi wake kwanza. Wapo mashahidi watakaokuja kwa upande wake. Hutaki Lissu ajitete kama shahidi?
Sio kujitetea kama shahidi, hilo lipo wazi Lissu ni shahidi no Moja. I mean angekua na wakili wa kumtetea (defense attorney) ili iwe rahisi kwake kujitetea. Case hii ni nzito Kuna wakati anapanic sana.
 
Hahaha 😂
Ningekua yeye ningejikita kwenye uhaini. Lakini sijui kwanini Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hiyo case ni nzito na tena ya uonevu. Angekuwa na wakili wake kwa maoni yangu angejitetea vizuri zaidi.
Kuna sababu nyingi zilizomfanya ajitetee mwenyewe;
1. Kuonesha umahiri wake kwenue sheria! Yeye ni mwanasheria na pia ni wakili msomi.
2. Kutuonesha wananchi na dunia kwa ujumla namna bora ya kupigania haki.
3. Kiwaonesha watesi wake namna alivyo jasiri na shupavu kwenye kupigania kile anachokiamini.
4. Kujiongezea umaarufu wa kisiasa kwa maandalizi ya safari yake ya kuufikia uongozi wa juu kabisa nchini (Urais).

Na kwenye hili, hakika amefanikiwa pamoja na mateso yote anayopitia
Huku mtaani kwa sasa habari ni Lissu tu! Lissu ni Shujaa! Lissu ni mpambanaji wa kweli!, Lissu ni mzalendo kwa nchi yake, Lissu ni mwanasiasa wa kweli, nk. Hakuna cha nani wala nani! Habari ya mjini ni Lissu tu.
 
Back
Top Bottom