The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 560
- 979
Sawa mkuu. Japo mihemko haijawahi saidia kituHakuna mambo ya kubembelezana lisu Magufuli aliasisi haya yote
Sawa mkuu. Japo mihemko haijawahi saidia kituHakuna mambo ya kubembelezana lisu Magufuli aliasisi haya yote
Hatari kabisaHapa ndo unagundua kwamba sisi watz tunatumia sana mihemko hadi tunashindwa kuelewa vitu rahisi
Straight forward people huwa hawana hizo lugha zenu za kidiplomasia. Tumvumilie tu!Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
who the heck is hayati ?Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
gentleman, mapenzi yako kwa CCM n makubwaGentleman,
mimi sihitaji kuvutana na mdau yeyeote wa JF kwenye jambo lolote lile la kisiasa au vinginevyo. Members wote wa JF ni kaka, dada, mama, baba, mashangazi, wajomba, ndugu jamaa na marafiki zangu wa mama moja Tanzania.
Gentleman,
hakuna sababu hata moja baina yangu, wewe au mdau mwingine yeyote yule wa JF ya kuhasimiana au kuogopana kwasababu tu ya utofauti wa maoni, mirengo, dini au kabila. To me that's very nonsense.
tutofautiene kadiri inavyowezekana, but at the end tubaki kama ndugu na watoto wa mama Tanzania.
so my friend,
just relax and lets move forward together regardless our differences in opinion on the ongoing case.
i'm sorry for everything,
and plz forgive me gentleman wherever i have wronged or hurts you with my comments![]()
Kwa upumbavu wao, mazafakas wa Serikali ya CCM wamempa Lissu jukwaa maridhawa kabisa. Safari hii watavuliwa nguo zote!TUNDU LISSU ANAENDELEA
SEHEMU YA 4.
Lakini, Waheshimiwa Majaji, kipekee kabisa, najulikana ndani na nje ya nchi kwa kupigania maeneo yenye madini kama dhahabu.
Kwa takribani miaka 10, kuanzia mwaka 1996, mimi ndiye nilikuwa nazungumzia masuala ya madini katika nchi hii.
Maeneo ambayo Serikali ya Mkapa iliwapa wawekezaji kutoka nje.
Geita Gold Mining, maelfu ya wananchi waliondolewa kwa nguvu.
Nilikuwapo wakati wanaondolewa.
Bulyanhulu, Agosti mwaka 2002, nilikuwapo wakati palipotokea mauaji, wakati Serikali ya Mkapa inawaondoa wananchi kuwaachia Wakanada.
Ndipo nikapata kesi yangu ya kwanza ya jinai mwaka 2002.
Nilipigania kufanya kampeni ya kudai uchunguzi huru wa kimataifa wa mauaji ya wananchi wa Tanzania nchini Tanzania, Marekani na Canada, everywhere, na nikapata na kesi ya jinai.
Eneo la Dusu, Nzega, palikuwa na mgodi unaitwa Golden Pride Mining wa Australia.
Mimi nilikuwapo kupinga hilo.
Tarime, Nyamongo pia. Na Waheshimiwa Majaji, Tarime ni muhimu sana kwangu, siyo kwa sababu ni kwetu, bali kwa miaka mitatu nilitoa watu 466 gerezani kutoka Gereza la Wilaya Tarime na Gereza la Butimba, Mwanza.
Watu walifungwa bure kwa makosa ya uongo kabisa ili wafungwe watu wapore ardhi yao.
Nilitoa watu 466, akiwemo Marehemu Chacha Wangwe, ambaye baadaye akaja kuwa Mbunge.
Tarime ikanipa kesi ya jinai pia katika wakati wa Serikali ya Jakaya Kikwete.
Baadaye nitaeleza kuhusu hizi kesi.
Buhemba, ambayo sasa ni Wilaya ya Kahama, Butiama, Mererani Wilaya ya Simanjiro, Manyoni, Ikungi Mashariki, Jimboni kwangu.
Kote huko palikuwa na dhahabu, ila ikaja kuwa ni maafa kwa wananchi waliopelekewa hilo mali.
Kila mara panapokuwa na ukandamizaji wa haki za wananchi, nimejitahidi kuwa sehemu ya mapambano ya wananchi hao ya kupinga huo ukandamizaji.
Kauli mbiu yangu, Waheshimiwa Majaji, (my motto): “Upinzani dhidi ya ukandamizaji ni utiifu kwa Mungu” (Resistance to Oppression is obedience to God).
Msimamo wa maisha yangu haya umekuwa na gharama kubwa sana kwangu.
Waheshimiwa Majaji, kesi hii ni kesi ya uhaini, na kama ambavyo nimesema mara nyingi, Waheshimiwa Majaji, kwamba uhaini, kama ulivyotafsiriwa kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu, ndiyo kosa kubwa kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Ibara ya 24 ya Katiba yetu).
SHARE UPDATE HIZI ZIFIKE MBALI
Kwanini unataka apambwe?Sina shida na mshtakiwa, lakini nahisi ingekuwa bora zaidi kutumia jina la hayati katika kujenga hoja nzito. Moja ya kitu ambacho nakishangaa na kinaweza kumpunguza sehemu ya wafuasi na public sympathy ni pale anapomtaja hayati kwa mzaha na kama kejeli hivi. Kwa upande wangu naona hicho kitu si kizuri sana kwa upande wake hata kama alimuumiza kweli.
Hahaha. Ile ni ukikutwa na hatia. Kwa kimombo inaitwa mitigation. Mitigating factors ndo kama hizo. Nina familia, Hali ya afya, kosa la kwanza, etc. Lengo la mitigation ni kuomba kupunguziwa adhabu (sentence). Baada ya utetezi kumaliza ushahidi wao itafanyika final submissions. Then majaji wataamua akikutwa na hatia ndo inakuja hiyo stage unayoisema.Bora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
Kumbe kupepewa ndio imekukera?😁😁Ni wapi uliona huyo aliyesemwa akipepewa jukwaani? Nyie mnaleta mihemko, ndo maana huwa ikiisha yanafuata majuto na lawama
Hawezi kujitetea nahisi atafurahi kupata hiyo fursa ya kupanda hyo mbegu ya ukombozi hata asiponyongwa kweliHahaha. Ile ni ukikutwa na hatia. Kwa kimombo inaitwa mitigation. Mitigating factors ndo kama hizo. Nina familia, Hali ya afya, kosa la kwanza, etc. Lengo la mitigation ni kuomba kupunguziwa adhabu (sentence). Baada ya utetezi kumaliza ushahidi wao itafanyika final submissions. Then majaji wataamua akikutwa na hatia ndo inakuja hiyo stage unayoisema.
Lissu nadhani hatamuangukia mtu hata akikutwa na hatia.
Hahaha 😂
Ningekua yeye ningejikita kwenye uhaini. Lakini sijui kwanini Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hiyo case ni nzito na tena ya uonevu. Angekuwa na wakili wake kwa maoni yangu angejitetea vizuri zaidi.
Duh huyu baba alianza kutetea haki kabla wengi wetu hatujazaliwa.
Viva TAL.
"Mheshimiwa hakimu naomba usininyonge tafadhali"🤣🤣🤣🤣🤣Bora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
nawapaenda sana waTanzania wenye nia njema na wivu mkubwa na Taifa hili gentleman,gentleman, mapenzi yako kwa CCM n makubwa

alistahili kukaa zaidi ya huo muda mchache sana gentleman ili uchunguzi ukamilikeIla alivyokaa karibia miezi 6 bila kumpandisha mahakamani hamkuona kuwa mnampotezea muda?

Kwani ni uongo hakutaka kumuua Lisu?Nafikiri hujanielewa, ni kwamba kwa upande wangu nilikuwa naona ni vyema kulitumia Jina la hayati kujenga hoja nzito za utetezi siyo kama anavyolitumia kama kumkejeli. Kuna sehemu kasema fulani alikufa mimi nikabaki, halafu anasema fulani alikuwa anakata upepo anapepewa wakati ni uongo ni kutafuta vicheko lakini siyo kujenga hoja za utetezi. Ni maoni yangu lakini
dalili ya kukata pumzi ni " vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi" hv nyie machawa hua mnaona wazungu wanatuonea sana wivu sisi kwa KIPI?nawapaenda sana waTanzania wenye nia njema na wivu mkubwa na Taifa hili gentleman,
hawa vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi hawana maana yoyote kabisa aise![]()