econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Ila alimsaidia kulitunga upya swali lake.Naasoro Katuga: Unapotishia kuvunja amani, umewalenga Polisi.
Lissu: Swali lako ni la kijinga.
Ila alimsaidia kulitunga upya swali lake.Naasoro Katuga: Unapotishia kuvunja amani, umewalenga Polisi.
Lissu: Swali lako ni la kijinga.
HahahaLissu ni big fish kwenye sheria not an easy target.
Nadhani sasa hata hao mashahidi wa jamuhuri wakiona haya yanayoendelea watakuwa wanajisemea "kumbe sio peke yetu tuliopitia zahma"
Hii ndio tofauti kati ya kuni na mbao.
Hapa Katuga alichochoa njia 😀Nassoro Katuga: Ni chombo gani cha mwisho kutoa maamuzi?
Lissu: Mahakama ya Rufaa.
Nassoro Katuga: Tuseme Mahakama.
Lissu: Hapana, umesema chombo cha mwisho.
Nassoro Katuga: Sawa.
Ila lissu dahh 😀😀😀😀
Nawe pia jipe moyo utamaliza tu madeni yako.JIPENI MOYO TUH
Nch hii ngumu sana ndugu watu wanalinga na Mashemeji zao🤠🤠
Ndugu mtanzania inatumiwa sana na yule ***** Lucas MwashambwaUnaona baadala ya gentleman umehamia kwenye ndugu mtanzania. Sasa hivi sitahangaika na wewe.
Wenzako wametengewa bajeti za perdiem za kutoshaSamia anawabebesha mzigo mzito sana hawa mawakili.
Yani wanashangaa sana ujinga wa kina Katuga. Useless kabisa..wacha Hans Pope aliyekuwa akishtakiwa.
..kuna muendesha mashtaka mkuu William Sekule nadhani angemshangaa Nasoro Katuga na wenzake. William Sekule ni marehemu sasa hivi.
..mawakili kama Johnson Mwanyika waliokuwa upande wa serikali naamini wanastaajabu yanayofanywa na warithi wao.
Kwani Makonda naye kaoa kizimkazi?
Huyu mjinga KERATO MOMBAA anakera sanaDuuh we jamaa kwa matusi
Mawakili wanahangaika na kitu ambacho wanajua hakipo.Samia anawabebesha mzigo mzito sana hawa mawakili.
Tunamshukuru Sana na itapunguza jus roll Sana kuitafuta last epsodeAsante Manyanza Km ikikupendeza tunaomba uweke zoote episode mwanzoni kila ikija mpya. 🙏
Hekima Kabla ya Mpasuko: Kama Nchimbi alivyo tumia busara kujiuzulu, Samia pia ajiuzulu. Nchi kwanza, Ushauri wa Simbachawene
View: https://x.com/chawenegeorge/status/2092415215610601748
Kitendo cha Lissu kuwakazia kwenye video kimewamaliza nguvu. Halafu kwenye issue ya kukamatwa na uhalali wa kukamatwa amewapiga chini. Ambayo hii ground tu hata mahakama imkute na hatia mahakama ya rufaa anachomoka. Kitu ambacho majaji hawatakubali.Inawezekana mawakili wa Serikali waliisubiri sana hii siku wakiamini itakuwa na matokeo mazuri kwao.
Waliamini wakimfanyia cross examination Lissu watakuwa na mambo mengi ya kum contradict.
So hata kuhitimisha ushahidi wao kwa kufunga na mashahidi 17 huwenda ilikuwa ni kutokana na usongo wa kusubiri hii siku.
Lakini inaonekana wazi kuwa things didn't go exactly as they planned.
Na kitu ambacho ni rahisi kutabiri ni kuona mawakili wengine wakirudi nyuma kumpokea kijiti Katuga.
Shida ya Katuga anaruka ruka. Mara wakoloni, mara waarabu nkKatuga maswali ya wakoloni na mikataba mbona ametemana nayo?