Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Lissu ni big fish kwenye sheria not an easy target.

Nadhani sasa hata hao mashahidi wa jamuhuri wakiona haya yanayoendelea watakuwa wanajisemea "kumbe sio peke yetu tuliopitia zahma"

Hii ndio tofauti kati ya kuni na mbao.
Hahaha
 
Inawezekana mawakili wa Serikali waliisubiri sana hii siku wakiamini itakuwa na matokeo mazuri kwao.

Waliamini wakimfanyia cross examination Lissu watakuwa na mambo mengi ya kum contradict.

So hata kuhitimisha ushahidi wao kwa kufunga na mashahidi 17 huwenda ilikuwa ni kutokana na usongo wa kusubiri hii siku.

Lakini inaonekana wazi kuwa things didn't go exactly as they planned.

Na kitu ambacho ni rahisi kutabiri ni kuona mawakili wengine wakirudi nyuma kumpokea kijiti Katuga.
 
Yani wanashangaa sana ujinga wa kina Katuga. Useless kabisa
 
Kitendo cha Lissu kuwakazia kwenye video kimewamaliza nguvu. Halafu kwenye issue ya kukamatwa na uhalali wa kukamatwa amewapiga chini. Ambayo hii ground tu hata mahakama imkute na hatia mahakama ya rufaa anachomoka. Kitu ambacho majaji hawatakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…