Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

Angekuwa hajafungwa, si angekuwa anakaa mwake we kenge
Wewe kweli kichwani hamnazo sijui hao watoto wako wapoje darasani kama akili zako ndo hizi.

Yani unasema mtu kafungwa na hajahukumiwa au kahukumiwa na bibi yako?
 
Mh John Wegesa Heche kapigilia msumari wa moto kwenye kidonda cha mjane. Salamu zimfikie mjane wa taifa huko aliko.
 
Ushahidi alioutoa john heche mahakamani umeenda kufungua sura mpya ya kesi hii ya uhaini na hapo ndipo jamhuri itakapo aibika
Wahaini wanatafuta wakumshikisha kesi ya Uhaini waliofanya&wanaendela kufanya kwa Raia mwema kama Mh.Lissu,kweli?
 
Mimi nakumbusha tu hapa ili twende sambamba
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635
 
Wakuu waheshimiwa please can somebody give me an update on yesterday's (14/09/2026) proceedings?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…