gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kama kibiti, mkuranga,rufijiKutokalika ndo uhaini?
Kama kibiti, mkuranga,rufijiKutokalika ndo uhaini?
Chukua chako mapema,bambika kesi yamchongo,toa ushahidi wa mchongo!Toa hukumu yamchongo!Haiwezekani liibuke kundi la watu kwa pamoja wapange uhaini,ni wazo la mmoja linaloambukiza
Hata maalim seif na wenzie walikua na kesi hiyo, kimsingi huwa ni kwa ajili ya kukomesha na kupotezea mudaChukua chako mapema,bambika kesi yamchongo,toa ushahidi wa mchongo!Toa hukumu yamchongo!
Kuchanganyikiwa au kujichanganya siyo lazima uokote makopo, la ni pamoja kujifanya unaelewa kumbe hujui!Kwangu muhimu kwa mustakabali wa Tanzania ni kuondoa madaraka ya raisi ya kuondoa civil servants kwa utashi wake kwenye katiba.
Huku kwengine ni kupoteza muda tu, wachangiaji wengi wa JF ni waandikaji tuu na waongeaji tu kwa sababu mną majukwaa ya social media. .
Lakini uelewa wa namna dunia inavyofanya mambo ni wachache sana wenye uelewa huo unaokidhi kufanya nao mjadala.
Sasa wewe ukishasema ulitamka maneno ambayo sheria inasema kauli zao hizo ni ‘seditious’ ain’t that the proof of ‘actus reus’, nina uhakika kwa kauli ambayo mleta mada kaandika hawezi kuona hata tatizo la incriminating ya hiyo statement.
Sehemu ya kukuwa ni kuacha kujadili ujinga pia na watu wajinga.
Issue ya msingi kwa Tanzania ni kuilinda civil services kwanza. Huku kwenye siasa tumejaza mataahira tu kama wewe.
That is me saying in arrogance mleta mada hujui; kwenye criminal case kazi ya prosecutor ni kuthibitisha ‘actus reus’ na ‘mens rea’.
Lissu keshawapa ‘actus reus’ willingly, kwa kukubali kutamka ‘seditious’ statement publicly.
Akili zenu zinawatosha wenyewe.
Mhh mbona umenenepa sana?
Unatakiwa kuwa na akili kumuelewa Lissu, kama kichwani ni 'mweupe' huwezi kumuelewa.Lissu anakera ile mbaya!
Tuanzie hapa👇🏻👇🏻 kwanza kukujengea ufahamu.Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania
In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code law’ on what amount to treason
Really?Lissu ni shallow in law.
He has committed offences against the state kwa uropokaji, be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.
There is NO TREASON ELEMENTS THERE my friend..!!The mere fact he admitted to his statement uttering seditious statements during his public rallies tells you he doesn’t understand the nature of his offence.
Haa haa🤔🤔😛Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli (if you know contract law).
Wewe ndiye mjinga 100% na sisi tunakuona mjinga kwelikweli...Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.
Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania
In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code law’ on what amount to treason.
Kazi ya serikali ni kuthibitisha ‘Mens Rea’ na ndio msingi wa hao mashahidi labda kwa upande wa serikali.
Ni hivi Lissu hajui sheria zaidi ya administration laws, he is not a criminal lawyer nor a contract lawyer (alikuwa anaongea ujinga mtupu kwenye sakata la makenikia, kilichompata ilikuwa ni ugomvi wa kujitakia na serikali).
You gotta read ‘Plato’s republic’ and understand the ship allegory if you want to delve deeper in politics.
Kama 90% ya wachangiaji wa JF obvious hawajawahi kusoma vitabu vya siasa, basi 99% hawajawahi soma vitabu vya sheria.
Lissu ni shallow in law.
He has committed offences against the state kwa uropokaji, be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.
The mere fact he admitted to his statement uttering seditious statements during his public rallies tells you he doesn’t understand the nature of his offence.
Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli (if you know contract law).
Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.
Simba na yanga kwenye kesi ya mhe. Lissu mr. Shallow mind.Simba na Yanga ni tatizo kwa CDM.
Mnapenda kusikia mambo ambayo what suits ya shallow minds.
Huyu bwana atawasumbua sana nana kama serikali inazidi kupata hasara za kuendesha kesiBaada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Wamechanganyikiwa!Jana katika Committal proceeding!
Hawana hasara maana hela zinazochotwa si zaoHuyu bwana atawasumbua sana nana kama serikali inazidi kupata hasara za kuendesha kesi
Kwa Tanzania Majaji kwa maana ya Jaji, tunao wachache, wengi wao hawajitoshelezi kwenye weledi na ni mzigo ! Utaratibu wa kuwapata ndo uneleta yote haya. Kenya Jaji anakuwa ni Jaji kweli na yuko Independent katika maamuzi yake na wako Very professional. Wa Kwetu wanatokana na ukaribu wa mtu kwa Wateuaji, anaagiza Chief Justice niletee orodha yenye Jina la Flani na Flani. Hatuwezi kufika.Majaji wote wanatokea ikulu tutegemee danadana zingine
Kama hujui kitu unakaa kimyaHujaelewa bado. Hadi sasa Tundu Lissu hajakiri KOSA, kwa hiyo Mashahidi bado wanahitajika. Ila sema kazi yao imepungua kwa vile cha kufanya sasa ni kuonyesha tu kuwa kuchochea UASI na. kukataza Chama ba wanachama wake milioni 8 wa CHADEMA kushiriki Uchaguzi, kuvuruga wapiga kura, kuzuia Tume kupanga foleni na kuhimiza watu watende kosa ni KUIZUA SERIKALI HALALI KUTUMIZA WAJIBU WAKE. Huu ni uhaini, Naam, dawa yake pekee ni Rais kumsamehe au kumpunguzis adhabu.
Uko na Samia au uko na Lissu?Amekiri kutamka neno kukinukisha, kufanya uasi.
Sasa kufanya uasi ni uhaini?
Uasi ni protest, kupinga kitu ni uhaini?
Ndio maana nchi inatia aibu katika kesi kimataifa angalia bakora walizochapwa kule ICSID
View: https://youtu.be/L9bX0yvyCas?si=MK8xOTkRzlhRydxD
Hapo dk ya 12:19 alichoulizwa na alichojibu hadi muulizaji kustaajabu hadi akamuuliza "But...Sir, is that what your Lawyers told you to say?"
Kesi hii Tanzania ilishindwa na ikakubali kulipa fidia ya mamilioni ya dola.
Hizi ni aina ya aibu ambazo tungeziona live jana na kwa sababu walijua wakazuia live streaming.
Sampuli hii ya watu ndio wanatumika kumsumbua Lissu saa hizi.Daaaah, sasa ameenda kufanya nini hapo naona anainamisha tu uso na miwani inataka kudondoka. Ningekuwa mimi nisingeenda. Ila wabongo tamaa ya kupenda per diems yeye hajali kabisa. Haya ni madhara ya maisha ya kuzoea, matamko ya magizo kutoka juu. Wamezoea kudhulumu walala hoi bila kufuata sheria, wakikutana na mzungu mkojo unagonga chupi. Alafu anajiita Professor
Hii I'd niliichora pale Polepole alipoanza kuleta ushenzi huku akidhani Watanganyika tumesahau ushenzi wake kipindi cha Jiwe.Uko na Samia au uko na Lissu?