Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Haiwezekani liibuke kundi la watu kwa pamoja wapange uhaini,ni wazo la mmoja linaloambukiza
Chukua chako mapema,bambika kesi yamchongo,toa ushahidi wa mchongo!Toa hukumu yamchongo!
 
Kuchanganyikiwa au kujichanganya siyo lazima uokote makopo, la ni pamoja kujifanya unaelewa kumbe hujui!

Kisheria kukiri kutamka maneno haina maana ya kukiri kutenda kitendo!
 
Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania

In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code law’ on what amount to treason
Tuanzie hapa👇🏻👇🏻 kwanza kukujengea ufahamu.

Naona wewe unajiandikia huku ukijifanya kujua kuliko JF yote. The fact ni kuwa wewe ni mjinga tu lakini hujui kuwa ni mjinga...

What is Actus Reus

Is the action or conduct which is a constituent element of a crime, as opposed to the mental state of the accused...

So, can you tell us what crime did Tundu Lissu do as per Actus Reus?

Saying "Tutazuia uchaguzi mwaka huu" is a crime? How exactly that is a crime...?

From which part or section or sub section of Tanzanian Criminal Laws..?

Tundu Lissu has already said, according to Tanzanian Laws, it's not a crime ammounting to treason saying those political words..!!

Kitakachofuata ni kuingizwa shule ya sheria kufundishwa: Kwanini No reforms, no Election na kwa namna gani itatekelezwa...

Mahakama itageuka kuwa darasa la political science, trust me....

Don't plan to miss that class...

Lissu ni shallow in law.

He has committed offences against the state kwa uropokaji, be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.
Really?

Are you writing this while in your perfect mind au umevurugwa tu ndugu Mayor Quimby..?

Unamjua kweli Tundu Lissu wewe...?

No, I don't think if you know him. I bet to say, you absolutely don't know him...!!

Kama hujui ni kuwa, kuanzia mwaka 1997 hadi sasa, CCM na serikalini zenu zote zilishamshitaki Tundu Lissu kwa kesi zaidi 30 nyingi zikiwa ni za uchochezi (inciting violence)...

Katika kesi hizi zote, 99% hujitetea mwenyewe. Na zote hizi hakuna hata moja amewahi kukutwa na hatia dhidi ya makosa aliyoshitakiwa nayo...!

Na in fact, Jamhuri (washitaki) wenyewe ktk hatua za awali tu, huzikimbia au kuzitelekeza kesi na hivyo kujifia kifo cha kawaida (natural death)..

Wakili na msomi wa sheria kama huyu unawezaje kumbeza na kusema hajui sheria? Bila shaka ni lazima uwe mwendawazimu. Na sidhani kama wewe ni mwendawazimu japo unaweza kuwa mjinga tu wa kawaida...

Unajua ni kwanini...?

Ni kwa sababu Jamhuri humfungulia huyu jamaa kesi za uongo, za kubumba. Uongo siku zote hausimami pamoja na KWELI...

Hata kesi hii haina msingi wa kusimamia. These are baseless accusations. Hakuna kesi hapa whether you like it or not...!!!
The mere fact he admitted to his statement uttering seditious statements during his public rallies tells you he doesn’t understand the nature of his offence.
There is NO TREASON ELEMENTS THERE my friend..!!

Katika kesi hakuna UCHOCHEZI wala hakuna UHAINI achilia mbali chembechembe za uhaini....!!

Hii sio kwa sababu tunasema tu, bali it's according to the laws of Tanzania...!

Wewe umesomea sheria wapi hata usilione hili kwa urahisi tu..?
Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli (if you know contract law).
Haa haa🤔🤔😛

Mbona kama unachanganya desa wewe...?

Contract laws wakati jamaa alipangua hoja zote kwa rejea ya vifungu mbalimbali na vya kutosha vya sheria za jinai..??

Naona ni kama uko very much confused, umechanganyikiwa...
Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.
Wewe ndiye mjinga 100% na sisi tunakuona mjinga kwelikweli...

Rudi nyuma kisha jitazame vizuri. Utaona ujinga kuanzia kwenye nyayo zako za miguu hadi utosini kichwani mwako...!!

Pole sana..
 
 
Na hivi kikristo chenyewe tatizo, mpaka dikshonare!..
 
Huyu bwana atawasumbua sana nana kama serikali inazidi kupata hasara za kuendesha kesi
 
Majaji wote wanatokea ikulu tutegemee danadana zingine
Kwa Tanzania Majaji kwa maana ya Jaji, tunao wachache, wengi wao hawajitoshelezi kwenye weledi na ni mzigo ! Utaratibu wa kuwapata ndo uneleta yote haya. Kenya Jaji anakuwa ni Jaji kweli na yuko Independent katika maamuzi yake na wako Very professional. Wa Kwetu wanatokana na ukaribu wa mtu kwa Wateuaji, anaagiza Chief Justice niletee orodha yenye Jina la Flani na Flani. Hatuwezi kufika.
 
Kama hujui kitu unakaa kimya
 
Daaaah, sasa ameenda kufanya nini hapo naona anainamisha tu uso na miwani inataka kudondoka. Ningekuwa mimi nisingeenda. Ila wabongo tamaa ya kupenda per diems yeye hajali kabisa. Haya ni madhara ya maisha ya kuzoea, matamko ya magizo kutoka juu. Wamezoea kudhulumu walala hoi bila kufuata sheria, wakikutana na mzungu mkojo unagonga chupi. Alafu anajiita Professor
 
Sampuli hii ya watu ndio wanatumika kumsumbua Lissu saa hizi.
 
Uko na Samia au uko na Lissu?
Hii I'd niliichora pale Polepole alipoanza kuleta ushenzi huku akidhani Watanganyika tumesahau ushenzi wake kipindi cha Jiwe.
Kwa issue ya Samia na Polepole niko pamoja na Samia.
Kwa issue ya Lissu niko kwa Lissu.
Lissu huwezi kumfananisha na mtu aliyeko ICU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…