Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Hii I'd niliichora pale Polepole alipoanza kuleta ushenzi huku akidhani Watanganyika tumesahau ushenzi wake kipindi cha Jiwe.
Kwa issue ya Samia na Polepole niko pamoja na Samia.

Kwa issue ya Lissu niko kwa Lissu.
Lissu huwezi kumfananisha na mtu aliyeko ICU.
Kwa hiyo kwa lssue ya Lissu na mama uko na Lissu.....kwa kuwa mama yuko ICU. Hivyo ndivyo nilivyokuelewa. Au nimesema uongo ndugu zangu?
 
Usiku nilikuwa nasoma section 39 ya Penal Code (R.E. 2023) kuhusu treason...ngoja nitarudia kusoma, huenda sijasoma vizuri.
 
N Ni hatari sana
 
this is not a law problem

hili ni political problem

lissu has to solve this political issue politically na mwenye machinery huyo mama

zungusha kiswahili unavyoweza,atafungwa tu.....mwenye machinery kaamua

he will be bulldozed to the table,tena yeye mwenyewe ataenda
 
Hizi ndizo akili za machawa wa mama! Kizazi hiki ni cha hovyo kupita maelezo!
 
Acha wachimbue,mbovu na mbichi zitajulikana
 
Kuchanganyikiwa au kujichanganya siyo lazima uokote makopo, la ni pamoja kujifanya unaelewa kumbe hujui!

Kisheria kukiri kutamka maneno haina maana ya kukiri kutenda kitendo!

..katika kampeni hizihizi za NRNE Tundu Lissu amewahi kushauri Rais Samia Suluhu aongezewe muda ili kutoa nafasi ya kufanya mabadiliko.

..sasa mwanasiasa mwenye kauli, mitizamo, na misimamo ya aina hiyo, napata ugumu kumuita mhaini, au kumtuhumu kutaka kufanya mapinduzi, kumuua Raisi, na kusimamisha Katiba.
 
Hizi ndizo akili za machawa wa mama! Kizazi hiki ni cha hovyo kupita maelezo!
wewe chawa wa lissu

na mimi chawa wa mama

tuna tofauti gani?

you are not in a position to call me chawa,wakati sisi wote ni chawa,the same way

motherfucker!
 
na kwa akili yako unadhani lissu atatoka leo?

its funny lissu people dont understand hii kesi ni kumpotezea muda uchaguzi upite

objectives za maccm zinatimia then anaachiwa

who cares?
 
na kwa akili yako unadhani lissu atatoka leo?

its funny lissu people dont understand hii kesi ni kumpotezea muda uchaguzi upite

objectives za maccm zinatimia then anaachiwa

who cares?
Wapi nimesema Lissu atatoka leo? Umekurupuka dogo.
 
Wapi nimesema Lissu atatoka leo? Umekurupuka dogo.
naona unapaparika

umeona '"kutoka" tu?

lengo ni Lissu kuhifadhiwa mpaka october ipite,thats it!

mengine yote mnayoshabikia and blah blah ni taarifa baada ya habari tu!
 
naona unapaparika

umeona '"kutoka" tu?

lengo ni Lissu kuhifadhiwa mpaka october ipite,thats it!

mengine yote mnayoshabikia and blah blah ni taarifa baada ya habari tu!
Wewe nakuona mpuuzi kwani umedakia bila kuelewa post yangu ilimaanisha nini, nakupuuza tu dogo.
 
Mahakama imekanyaga waya kazi wanayo, watafundishwa sheria
 
Uwezo mdogo na akili za kuambiwa vitawatesa mawakili wa serikali na majaji kwenye kesi hii. Uwezekano wa lisu kushindwa ni mkubwa kwa sababu uwanja wa mchezo ni wao, refarees wote ni wao, kamisaa ni wao na kibaya zaidi wameweka var na wasimamizi ni makada wa CCM. Lakini jamii huru inajua ukweli wa yote.
 
Kuna ubaya gani kuasi maovu yanayofanywa na timu ya uchafuzi?
Haija hasiwa siri kali sasa uhaini ukowapi hapo?
Ukiiasi mfano Yanga SC kwakuchangia chama cha siasa unakuwa mhaini?
Ukikinukisha kwa taasisi huru mfano hiyo Yanga ndio unakuwa mhaini?
Hao waliotishiwa ni kinanani na kwanini wanatishika najambo haliwahusu?
Maandamano nihaki kikatiba na yangefanyika dhidi ya timu hulu ya uchafuzi sasa kiherehere cha dipipi kinakujaje?
Hii kesi ni upuuzi mtupu hata mtu hajaenda shule anaelewa nimichezo yakipumbafu kisa wajinga wameshika dollar... Shame on you kaa tuga na di pipi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…