Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Kimsingi wanaoiendesha hii kesi ndo walitakiwa kuwa wamekamatwa kwa uhaini maana wanaenda kinyume na matakwa ya wenye nchi (wananchi)sema kwa vile wameshikilia kwenye mpini makali wanaturudishia sie
 
Sijasoma Sheria ila kama ni kweli hii ni aibu sana na wanazalilisha taaluma; Lisu anawezaje kubisha Yale mambo? Na wakati akiyasema alijua fika hayana shida?

Kwa kifupi Jamhuri Haina namna ya kuchelewesha hii kesi, kwa kifupi ni wao kuamua tu hakuna cha kubishania, wala mashahidi hawana Matumizi, aibu hii???!!!??
 
😂😂😂😂😂 mie nikajua ni askari na ana no ya usajiri ktk jeshi hilo.
Kumbe JKT ya mujibu? Khaaaah.
 
Sasa itakuwaje yale mabilioni waliyolipwa mashahidi wa gizani? Hii haikubaliki warejeshe pesa hizo bhana
 
Inadaiwa ni Mganda
Inawezekana , hii mikoa ya mpakani kuna mwingiliano sana, mfano kapo kabinti kangu kapo uganda ila nilikapata miaka iyo nikiwa mpakani mwa nchi hizi mbili , sema kanajitambua ,Mama alipatia mimba tz ,kakazaliwa uganda , ila sasa ,katoto kangu very brain kamewashinda daily dady dady , ngoja nafanya utaratibu kawe nchini ili uko badae kaje pambana na mafisadi wa nchi hii hasa watoto wao
 
Ni aibu kubwa. Mmi nilisikia nikashangaa.
Mkuu pesa za walipa kodi zinafujwa kwenye mambo ya kipumbavu sana.

Maana niliona siku moja posho za siku kwa askari wanaokuja kwenye kesi ya Lissu ni mzigo mkubwa kwa walipa kodi na wao wanafurahi kutumia pesa za walipa kodi kwa mambo ya kipuuzi sasa sijui huo ndio uzalendo wa wapi.
 
Kati ya CHADEMA na serikali/CCM wakuona aibu Ni nani???
 
Ahahaha. Eti KATUGA WA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…