Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Ni wakati kama wananchi na wazalendo wa nchi hii ,kuwalinda mashahidi wa mh Tundu lissu kwa wivu mkubwa sana , wapo na jambo la kufanya pale mahakama kuu tz , hatutaki mambo clip bali wafike mahakamani , chadema imezidi kustawi ,hatuna haraka mbele ya Mwana wa Mungu lissu ,

Thanks mawakiri upande wa chama, akiwemo kiongozi Dr Rugemaliza , wote Mungu awape maisha marefu na imekua, nasema hivi hata kama mh lissu anajitetea ila ni imani yangu kikosi chake yuma yake kimejitosheleza
Lissu aliogopa mawakili wake kuongwa au kuwa blackmail so Akaamua kujitetea mwenyewe nafikiri kuna mtu atakua alimtonya waafrika hatuaminiki kwenye pesa nyingi
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Hewa inabaki kuwa hewa tu hakuna kitu
 
Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
Huo ni uoga wa kushindwa. Kama kweli anataka kuuonyesha uwezo wake wa kiuongozi na anaamini kuwa anakubalika, acheze fair play na siyo kumgandamiza mshindani wake kupitia dola.
 
Hewa inabaki kuwa hewa tu hakuna kitu
Screenshot_20250816-101833~2.png
 
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Hebu rudia kusoma ulichoandika hapa. Mbona umejikoroga au Ile novena imeaanza kazi kwako?
 
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani kukinukisha ni kosa la jinai .

Kukinukisha kwa maana ya kisiasa inaweza kumaanisha kufanya vurugu. Kufanya vurugu za kisiasa sio uhaini .

Hao mashahidi wa mchongo wanatakiwa wapigwe stroke na sura zao ziwe kama vinyago.
Kukinukisha pasikalike
 
Lissu aliogopa mawakili wake kuongwa au kuwa blackmail so Akaamua kujitetea mwenyewe nafikiri kuna mtu atakua alimtonya waafrika hatuaminiki kwenye pesa nyingi
Vyovyote vile mkuu bado haiondoi hoja kwamba Mh lissu anafanya kazi ya upako wa ki Mungu.

Hoja yako nakubaliana nayo pia,

Note

Mungu yupo kazini sasa. Ukitaka kujua hili pamoja na manyanyaso yote kwa lissu ila yupo strong na rozali ya neema mikononi mwake ya mama bikra Maria na mwanae Yesu kwa imani ya wakatoriki na wakiristu wenzetu wana Mungu wa dhehebu la Rc
 
Back
Top Bottom