Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,126
- 6,104
Je nisahihi serekali na ccm wanacho fanya kama ulivyo eleza?YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Sasa mashahidi watathibitisha nini?Utakua mweupe wa sheria lakini
Kukinukisha ni uhaini??? Ndo penye kazi hapo ya kuthibitisha pasipo shaka kwamba ukitamka kuwa utakinukisha basi umefanya uhaini.Labda mimi ndio sijaelewa hivi kama kama mtuhumiwa akikiri kosa si ndio amemrahisishia hakimu kuamua kesi ama? Wajuzi nipeni darasa kidogo!
Kama unamwona huyo ni mweupe wa sheria, basi wewe ni lazima uwe punguani wa kichwani.Utakua mweupe wa sheria lakini
Hii misa hii huwa ndefu lakini tamu sana!!Ukipata wanasoma Kwa kuimba vizuriPilato: Je wewe ni Mfalme wa Wayahudi?
Yesu Kristo: Wewe wasema
Tangu saa ile Pilato akatafuta namna ya kumuachia bila ya kuwaudhi Wayahudi
Biblia inasema 🙏
sayansi ni nini?Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
Hiyo ni nuisance. Tutakufungulia mashtaka kwa kuchafua hali ya hewa. 😆😆Kwa mfano mtu yeyote akitoa ushuzi hadharani huko ni kukinukisha, Je na huo ni Uhaini?
Kabla ya mitano lazima kutakuwa na uchaguzi wa Rais Hilo liwekeniYAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Ayaaaaaaa!!Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Sayansi ya nyoko!Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
Yaani unaraha MTU kupotezewa muda, isee hii ni shidaYAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Thibitisha ni sheria gani inasema kusema tutazuia uchaguzi ni kosa la uhaini?Labda mimi ndio sijaelewa hivi kama kama mtuhumiwa akikiri kosa si ndio amemrahisishia hakimu kuamua kesi ama? Wajuzi nipeni darasa kidogo!
Hivi ni lini amekiri!!??? Au mi naota!!! 😄🫣🫣Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Uhuni na ukosefu wa maono anasema ni sayansisayansi ni nini?