Lissu aliogopa mawakili wake kuongwa au kuwa blackmail so Akaamua kujitetea mwenyewe nafikiri kuna mtu atakua alimtonya waafrika hatuaminiki kwenye pesa nyingiNi wakati kama wananchi na wazalendo wa nchi hii ,kuwalinda mashahidi wa mh Tundu lissu kwa wivu mkubwa sana , wapo na jambo la kufanya pale mahakama kuu tz , hatutaki mambo clip bali wafike mahakamani , chadema imezidi kustawi ,hatuna haraka mbele ya Mwana wa Mungu lissu ,
Thanks mawakiri upande wa chama, akiwemo kiongozi Dr Rugemaliza , wote Mungu awape maisha marefu na imekua, nasema hivi hata kama mh lissu anajitetea ila ni imani yangu kikosi chake yuma yake kimejitosheleza
Lissu genius, pia alitaka kizazi kijacho kinufaike na hoja konki!Lissu aliogopa mawakili wake kuongwa au kuwa blackmail so Akaamua kujitetea mwenyewe nafikiri kuna mtu atakua alimtonya waafrika hatuaminiki kwenye pesa nyingi
Hewa inabaki kuwa hewa tu hakuna kituBaada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Huo ni uoga wa kushindwa. Kama kweli anataka kuuonyesha uwezo wake wa kiuongozi na anaamini kuwa anakubalika, acheze fair play na siyo kumgandamiza mshindani wake kupitia dola.Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
Jaji anaweza kupata likizo ya miezi 6Kwa kifupi kesi imekwisha! Mahakamani kuu inapaswa kuwapa siku tatu tu wajikanyage kisha itoe hukumu!
Hebu rudia kusoma ulichoandika hapa. Mbona umejikoroga au Ile novena imeaanza kazi kwako?YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Ataenda msitari wa mbele kupika..Na ulemavu wote ule bado Lissu ni askari wa akiba?!
Kukinukisha pasikalike🤣🤣🤣🤣🤣Kwani kukinukisha ni kosa la jinai .
Kukinukisha kwa maana ya kisiasa inaweza kumaanisha kufanya vurugu. Kufanya vurugu za kisiasa sio uhaini .
Hao mashahidi wa mchongo wanatakiwa wapigwe stroke na sura zao ziwe kama vinyago.
Uhaini huanza na mtu mmoja..uhaini huwa haufanywi na mtu mmoja.
..TL kwa tabia na rekodi yake ya muda mrefu ni mtu wa kusimamia haki, na sheria.
😅😅Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Katuga jina la kinyamweziInadaiwa ni Mganda
Mbona 'pasikalike' hamliwekiKukinukisha ni uahini??? Ndo penye kazi hapo ya kuthibitisha pasipo shaka kwamba ukitamka kuwa utakinukisha basi umefanya uhaini.
Hii kete aliyosukuma Lisu wakijichanganya anawapiga supa 😅Na mashahidi wa Lissu ni Samia, Majaliwa na Mpango bila shaka wataisaidia mahakama kueleza kuwa maneno ya Lissu yana athari gani kwa Jamhuri ambayo wao ndo viongozi wake.
Mkuu wazazi saa nyingine wawe wanazitoa mimba kama hiziSayansi ya nyoko!
Hii ya kutaka kupita bila.kupungwa ndo sayansi!
Eti na wewe baba yako anajisifu kwa wenzie kasomesha!
hebu iandike hiyo "pasikalike" kwa kiingereza ili na sisi wapogoro tukueleweMbona 'pasikalike' hamliweki
Farting - kujambahivi kisheria neno kukinukisha tunasemaje kwa kiingereza maana niliwakuta akiana gatuga waki google
Vyovyote vile mkuu bado haiondoi hoja kwamba Mh lissu anafanya kazi ya upako wa ki Mungu.Lissu aliogopa mawakili wake kuongwa au kuwa blackmail so Akaamua kujitetea mwenyewe nafikiri kuna mtu atakua alimtonya waafrika hatuaminiki kwenye pesa nyingi