Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Ni rahisi ku-quote watu na kujibu ujinga; wakati mimi nimekueleza hilo ni kosa based on Tanzania ‘penal code’Weka akiba ya maneno. Kutamka maneno: actus reus haikudhibitishi kwamba wewe unajua lolote juu ya sheria ya jinai.
Lissu siyo saizi yako
Umewahi kushinda kesi ngapi za jinai hadi sasa, msomi stupidNi rahisi ku-quote watu na kujibu ujinga; wakati mimi nimekueleza hilo ni kosa based on Tanzania ‘penal code’
I don’t call people stupid for no reason, rather for their intuition writings.
Hivi kwenye jopo la mawakili wa Mhe. Lissu je mhe. Kibatala yupo?Hii kesi inaenda kinyumenyume ndugu yangu
Simba na Yanga ni tatizo kwa CDM.Umewahi kushinda kesi ngapi za jinai hadi sasa, msomi stupid
Ila Chadema mnafurahisha sana, mnavyozungumza utafikiri huyo Lissu kashinda kesi kumbe bado ananyea debe tuNi aibu sana na ndio maana waliona bora kukata matangazo ili kesi isiwe live kwenye mitandao.
😂😂😂 aliyepelekwa chaka ni nani na mtu yupo ananyea debe mwezi wa 6 sijui huu.. Nyie watu ni mapunguani au??Nakumbu mh lisussu kwenye press ile makao makuu ya chama alisema kwa kumnukuu.
(Kwamba wanasema kuzuia uchaguzi ni uhaini ,jibu ni ndio)
Hapa mweshimiwa aliwapeleka chaka nao wakajaa kibra, sasa ni jamuhuri kudhibitisha kwamba tangu lini kuzuia uchaguzi ni uhaini.
Mwanzo niliandika humu kwamba hii kesi inaweza fika mahala ikaibua hata kura za waliokuwa wagombea wa ccm na kushinda 2020 katika uchaguzi.
Pili mh lissu kwa wasilisho lake la juzi anaweza kumtaka yoyote kuwa shahidi upande wake atakavyoona inafaa, wakiwemo mashahidi wa siri, Mbowe, kigaila, mgombea wa chauma, n.k kwenye list yake ya mashahidi tiyari amewataja watatu (top 3), Tulia pia anaweza kuitwa .
Singinda inaenda kutoa Rais wa nchi hii nje ya ccm ,wanasinginda kesheni kwa kuimba nyimbo za kumtukuza Mungu.
Wanadoria kwenye mitandao ya kijamii mnatakiwa kuanza kutubu ila msikimbie nchi ,hakuna kulipa visasi asema Bwana
Huyu bwege atakufa kifo kibaya huyuuuu
Hata wanaoandaa matamasha ya mziki huwa wanasema watakinukishahivi kisheria neno kukinukisha tunasemaje kwa kiingereza maana niliwakuta akiana gatuga waki google
Nukisha ipoHivi kamusi ya Kiswahili ina neno kukinukisha?
Kesi ameshinda Katuga wa mama.Ila Chadema mnafurahisha sana, mnavyozungumza utafikiri huyo Lissu kashinda kesi kumbe bado ananyea debe tu
We amka usije ukajinyea.Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Imekuaje akakiri? Inamaana anajiamini sana uenda,amewatangulia kuona mbele!!?Jana katika Committal proceeding!
Lissu alisema atasimamia show yeye mwenyewe mwanzo mwisho ili awatie aibu vizuriHivi kwenye jopo la mawakili wa Mhe. Lissu je mhe. Kibatala yupo?
Kutokalika ndo uhaini?Mbona 'pasikalike' hamliweki
Sheria hazisemi hivyo mzee baba karudi tena kwenye vitabuUhaini huanza na mtu mmoja
Bora puani mkuu wangu, itawatokea mahala paleeee...🤣🤣🤣 Posho walizokula zitawatokea puani
Dah..!! Pumba ya mwaka hii..!!Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania
In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code law’ on what amount to treason.
Kazi ya serikali ni kuthibitisha ‘Mens Rea’ na ndio msingi wa hao mashahidi labda kwa upande wa serikali.
Ni hivi Lissu hajui sheria zaidi ya administration laws, he is not a criminal lawyer nor a contract lawyer (alikuwa anaongea ujinga mtupu kwenye sakata la makenikia, kilichompata ilikuwa ni ugomvi wa kujitakia na serikali).
You gotta read ‘Plato’s republic’ and understand the ship allegory if you want to delve deeper in politics.
Kama 90% ya wachangiaji wa JF obvious hawajawahi kusoma vitabu vya siasa, basi 99% hawajawahi soma vitabu vya sheria.
Lissu ni shallow in law.
He has committed offences against the state kwa uropokaji, be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.
The mere fact he admitted to his statement uttering seditious statements during his public rallies tells you he doesn’t understand the nature of his offence.
Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli (if you know contract law).
Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.