johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yesu alisema mwacheni aende zakeWakuu!
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe.
Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia kabisa kabisa kabisaaaa upelelezi?'
Wacha tuone kitakachojiri!
Yoyote anae muombea mabaya Lisu Mungu amlaani
Mtu mwenye nguvu zaidi duniani ni Tundu Antipas Lissu ambaye anasimama peke yake kujitetea.Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe.
In fact,Wakuu!
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe.
Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia kabisa kabisa kabisaaaa upelelezi?'
Wacha tuone kitakachojiri!
Mungu anakuona na Uzandiki wako!In fact,
kwasabb ya uropokaji, ubishi na maneno mengi yasioyohusiana na kesi mahususi,
muungwana ataeleza madai mengine kabisa na kupoteza muda wa mahakama na kisha atarudishwa korokoroni kama kawaida hadi wakati mwingine 🐒
Mbona wapo watanzania wengi awajui cha wakili wala nini.. wajitetea na kushinda kesiMtu mwenye nguvu zaidi duniani ni Tundu Antipas Lissu ambaye anasimama peke yake kujitetea.
#Mbingu zinatazama na kuona Tundu Antipas Lissu ni mshindi.
Kwa mfano...hebu mtaje moja tu. Ficheni ujinga!Mbona wapo watanzania wengi awajui cha wakili wala nini.. wajitetea na kushinda kesi
Nilitaka nishangae, tangu lini ukaelewa nilicho andika 🙂🙂Kama baba yako alivyojisumbua kumwagia ndani hadi ukazaliwa takataka wewe
Hii nyimbo vipi? Sisi tusiopenda nyimbo tusiangalie?Wakuu!
Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu.
Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe.
Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia kabisa kabisa kabisaaaa upelelezi?'
Wacha tuone kitakachojiri!
View attachment 3406386
===============================
View: https://www.youtube.com/watch?v=IJ2pOdUdRms
Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kutajwa tena leo Julai 15, uamuzi wa DPP kungojewa
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Antiphas Lissu inaendelea leo Julai 15, 2025 ikiwa ni siku 14 tokea iliposikilizwa mara ya mwisho, ambapo unangojewa uamuzi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kutokana na jalada ambalo ilielezwa kuwa lipo mezani kwake.
Ikumbukwe kuahirishwa kwa kesi hiyo inayotajwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi KIsutu, kulifikiwa baada ya Mahakama hiyo kukubali maombi ya upande wa Jamhuri ulioeleza kuwa mpaka tarehe hiyo Julai 1, 2025, bado DPP alikuwa ajafanya uamuzi wa jalada la kesi ambalo lipo mezani kwake.
Awali, kabla ya kutolewa uamuzi huo na mahakama, Tundu Lissu wakati akijitetea aliiomba Mahakama kuagiza upande wa Jamhuri kulipeleka shauri lake Mahakama Kuu ya Tanzania haraka kama wamekamilisha ushahidi au Mwendesha Mashtaka aonyeshe nia ya kutoendelea na shauri lake, hivyo amuachie huru (nolle prosequi). Ikumbukwe Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu inafungwa mikono kisheria kusikiliza kesi hiyo.
===
Ulinzi umeimarishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam
Mwaipopo mtafuta fursaSio Mungu amlaani, bali ameshalaaniwa hata Shekh Mwaipopo kasema hivyo.
Kulikuwa na haja ya kuyasema haya mkuu wangu? mbona ni mjadala wa kawaida sana. Ingawa anayejadiliwa siyo mtu wa kawaida.Kama baba yako alivyojisumbua kumwagia ndani hadi ukazaliwa takataka wewe