Sasa mbona anatudanganya. Anaonyesha Ishara kabisa ya mitano Tena Ocktoba tuna tiki Vema!!!
===
Povu ruksa kwa Leo.
=====
Wahusika wafanye hima na kwa usahihi na haki juu y kesi hii. Lengo, mambo mengine muhimu kwa wananchi ya endelee. Natamani kesi hii iishe mapema watu waendelee na maisha Yao.