Tetesi: Kesi ya utekaji na mauaji dhidi ya Makonda yanukia

Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
Arusha wakazi oji wako poa, ila wadudu wanahaha sana.
 
I can confirm to you without fear of contradictions that, the EU & US gov removed the so called ban or sanction against the gentleman long time ago... during mula mula leadership as foreign minister....

the gentleman is free to fly for Europe or US without any difficult 🐒
 
Nani kawambia FBI wanavuka mipaka kiasi cha kuweza kufanya kazi sehemu yoyote?

alafu Makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi aliyofanya makonda ni kukamata mashoga hiyo ndo sababu kubwa baba wa mashoga kumkataza asikanyage nyumbani kwakwe USA.
 
Yangu macho na masikio! Wanaofungua kesi hakikisheni siyo Watanzania! Na kesi isifunguliwe hapa hapa Tanzania,vinginevyo na wao wanaweza kudhurumiwa haki ya kuishi kabla ya kesi haijaanza.
Changamoto nyingine kama alidhurumu haki za watu baada ya kupata kibali cha mamlaka za juu.
Sijui hapo itakuwaje?
 
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
Mlie tu. Makonda is our RC for Arusha
 
Yule ana tuhuma za kunyima watu haki ya kuishi, wewe ungefurahia kupata mgeni mwenye sifa hiyo nyumbani kwako?
Sikatai kwamba hana tuhuma mkuu, lakini hio haimaanishi kwamba huo mkoa mjichagulie mkuu wa mkoa mnae mtaka.
Nyie kubalini tu kwamba huyo ndio kaisha kua RC wa Arusha mtake ama misipende...😜
Au mnataka jambazi apelekwe kwenye mkoa gani labda...🤣
 
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
Unapoteza muda kuzima ndoto ya makonda. Wivu na ujinga kwako vimesheheni.
 
Tatizo nyie jamaa Huwa hamfikirii Kwa kina!

Unakumbuka kesi ya Musiba na Membe!!?
Unakumbuka Mzee Pengo alimuomba Membe amsamehe Musiba mnakumbuka!!?

Membe akashupaza shingo Nini kilimtokea!!?

Ule mnaouita ujinga wa Cyprian Musiba ulifanywa Kwa baraka ya wenye mamlaka ya nchi hii!!

Hiyo teka Teka ya makonda kama ni ya kweli ilikua Teka Teka ninaamini haikufanywa Kwa utashi wa makonda bali utashi wa wenye mamlaka na wenye mamlaka wanajua kwanini walimtuma!

Ngoja tuone na hili litakuaje!!
 
Angalia ng'ombe ingine. Hivi mna funza kichwani ama? Waliokuwa wanapotea na kuokotwa huwezi ata kujiuliza tu?
Mnakaririshwa tu kama Kasuku ila uthibitisho wowote wa uhusika wa Makonda hamna.

Kwa hiyo kwa sasa watu hawapotei na hakuna maiti zinaokotwa?
 
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji

Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda.

Ktk maelezo yao wamesema wamewaelekeza wanasheria wao kukusanya ushahidi wa kutosha ikiwa ni pamoja na kuomba ushahidi kutoka serikali ya Marekani utakaosaidia kumtia hatiani ndugu Makonda.

Itakumbukwa kuwa serikali ya Marekani imempiga marufuku Makonda kukanyaga nchini humo kwa kile ilichokiita " makosa ya kudhulumu haki ya watu kuishi".

My take.
Mtu anayedhulumu haki ya watu kuishi ktk sheria za kimataifa ana tofauti ndogo sana na gaidi. Tusije kushangaa kuona Makonda akikamatwa na FBI huko Arusha.
Daaa kumbe jinai haiishi?
 
Mkuu wa nchi inabidi ajipange kumchagua RC mwingine
 
Hata kama sio leo, hata miaka 30 ijayo atajibu tuhuma tu
 
Wafanye haraka ili swala tafadhali
 
Back
Top Bottom