MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepoZipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
We hujawahai Tumia mkuuKwa hiyo mrembo huwa anatumia twagooso....
Ngoja tusubiri wataalam wa kesi wapambane kwanza...
Sasa masilahi mapana ya nchi ni haya ya kumbambika mtu vipisi vya tumbaku iliyovutwa ? naweza kuwa nimeandika vibaya , lakini ni kwamba sheria za upekuzi hazikufuatwa .sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Erythrocyte, sidhani kama mapolisi wetu walivyokuwa na papara, "font page" ile chain of custody of exhibit was clearly observed! Kuna mambo mengi ya kisheria hapo ukipata wakili mzuri unatoka !Lissu alidai kuwa VIPISI VIWILI VYENYE MAJANI UKIVIANGALIA KWA MAKINI , NI VIPISI VYA SIGARA ZA KIENYEJI AMBAYO IMETUMIKA KWA SABABU VINA ALAMA YA KUUNGUA , AMBAVYO KWAO ( SINGIDA ) VINAITWA ' TWAGOOSO '
Akifafanua zaidi wakili huyo alidai kuwa kitu kinachoitwa msokoto wa bangi hakijulikani , kimefungwafungwa karatasi na hakubaliani na upande wa jamhuri kukitoa mahakamani kama kielelezo .
Hatima ya kupokelewa ama kutokupolewa kwa kielelezo hicho mahakamani itajulikana Agosti 18.
Chanzo - Nipashe .
Mungu ibariki CHADEMA
Wapo walio soma sheria ila ni wachache sana 'they are learning through their mistakes'Tatizo la polic wetu, hakuna aliyesoma sheria hata mmoja wakati wao ndo wasimamizi wa sheria. Sijui imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Lissu aliomba ashike mwenyewe kesi hii .Erythrocyte, sidhani kama mapolisi wetu walivyokuwa na papara, "font page" ile chain of custody of exhibit was clearly observed! Kuna mambo mengi ya kisheria hapo ukipata wakili mzuri unatoka !
Siyo serikali mkuu , ni Bashite kwa sababu ambazo hata vipofu wanazifahamu , hawa polisi wanatumika tu , laiti kama wangejua kisa cha kesi hii wangejilaumu sana ...Hii kesi ni ya KIPUMBAVU.
..Kwanini jamhuri inapoteza muda na fedha kusumbuana na msichana mdogo kama Wema?
Ndio maana Lissu aliomba ashike mwenyewe kesi hii .
Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
Kwani vipimo cha mkojo vilitoa majibu yepi?Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
Tatizo la polic wetu, hakuna aliyesoma sheria hata mmoja wakati wao ndo wasimamizi wa sheria. Sijui imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
hujanielewa..sijaongelea issue ya misokoto ya BangiSasa masilahi mapana ya nchi ni haya ya kumbambika mtu vipisi vya tumbaku iliyovutwa ? naweza kuwa nimeandika vibaya , lakini ni kwamba sheria za upekuzi hazikufuatwa .
Kweli kabisa wakati wale waliobeba pesa ya Escrow kwenye Sandarusi wapo kitaa wanapeta......Hii kesi ni ya KIPUMBAVU.
..Kwanini jamhuri inapoteza muda na fedha kusumbuana na msichana mdogo kama Wema?
Polisi wote wanafahamu kitu kimoja tu kwenye somo la sheria, "ignorance of the law is not a defence"Tatizo la polic wetu, hakuna aliyesoma sheria hata mmoja wakati wao ndo wasimamizi wa sheria. Sijui imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
..Hii kesi ni ya KIPUMBAVU.
..Kwanini jamhuri inapoteza muda na fedha kusumbuana na msichana mdogo kama Wema?
Hiyo siyo proof kuwa ni yeye alitumia bangi, vipimo vina weza kuwa challenged kuwa huyo mtu anaweza kuwa alivuta thru passive smoking ( passive smoking means moshi wa mtu unaweza kuuvuta na ikaonekana wewe ndo mvutaji hasa ndani ya enclosed atmosphere )