Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Kesi ya Wema: Lissu apinga Mahakama kupokea msokoto 1 na vipisi 2 vya bangi kama ushahidi

Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .
sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
 
sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Sasa masilahi mapana ya nchi ni haya ya kumbambika mtu vipisi vya tumbaku iliyovutwa ? naweza kuwa nimeandika vibaya , lakini ni kwamba sheria za upekuzi hazikufuatwa .
 
Lissu alidai kuwa VIPISI VIWILI VYENYE MAJANI UKIVIANGALIA KWA MAKINI , NI VIPISI VYA SIGARA ZA KIENYEJI AMBAYO IMETUMIKA KWA SABABU VINA ALAMA YA KUUNGUA , AMBAVYO KWAO ( SINGIDA ) VINAITWA ' TWAGOOSO '

Akifafanua zaidi wakili huyo alidai kuwa kitu kinachoitwa msokoto wa bangi hakijulikani , kimefungwafungwa karatasi na hakubaliani na upande wa jamhuri kukitoa mahakamani kama kielelezo .

Hatima ya kupokelewa ama kutokupolewa kwa kielelezo hicho mahakamani itajulikana Agosti 18.

Chanzo - Nipashe .

Mungu ibariki CHADEMA
Erythrocyte, sidhani kama mapolisi wetu walivyokuwa na papara, "font page" ile chain of custody of exhibit was clearly observed! Kuna mambo mengi ya kisheria hapo ukipata wakili mzuri unatoka !
 
Ndio maana Lissu aliomba ashike mwenyewe kesi hii .

Proving that an exhibit being offered into evidence is exactly what it purports to be—the actual drugs found on the defendant —requires proof of who had possession of the exhibit at all times between the time officers seized it and the trial. This is the “chain of custody,” and it’s especially important when exhibits have been altered in some way or tested prior to trial.

Links in a Chain

Because criminal prosecutions typically depend on evidence gathered by police officers, it is prosecutors who generally need to establish a chain of custody. In turn, a typical defense strategy is to attack the sufficiency of the prosecutor’s chain. If the defense succeeds in preventing the prosecutor from offering an exhibit into evidence, the judge might rule that the prosecutor has insufficient evidence to allow a case to continue. (That determination rests on how crucial the piece of evidence is to the case.)
 
Zipo taarifa kwamba hii kesi ni kama imeisha tayari , unaambiwa sheria za nchi zinakataza kumpekua raia nyumbani kwake baada ya saa 12 jioni , lakini Wema alipekuliwa saa 3 usiku .


Kosa lingine walilofanya ni kupekua nyumbani kwa Wema bila yeye kuwepo. Hivyo anaweza akasema hivyo vitu vilipandikizwa na Polisi wenyewe
 
Tatizo la polic wetu, hakuna aliyesoma sheria hata mmoja wakati wao ndo wasimamizi wa sheria. Sijui imekaaje hii

Sent using Jamii Forums mobile app



Mkuu hata Polisi wa Ulaya hawajui sheria zote za nchi zao. Ila kazi zao wanafanya kwa ufanisi kutokana na usaidizi na miundombinu mizuri.

Kabla ya kufanya tukio kuna mtu anawaongoza na akiridhika na maelezo ya Polisi ndiyo anawapa kifungu gani wakifate kutokana na maelezo ya tukio zima.

Mwisho Polisi si msimamizi sheria sababu hayuko juu ya sheria, Polisi anailinda sheria tu.
 
Sasa masilahi mapana ya nchi ni haya ya kumbambika mtu vipisi vya tumbaku iliyovutwa ? naweza kuwa nimeandika vibaya , lakini ni kwamba sheria za upekuzi hazikufuatwa .
hujanielewa..sijaongelea issue ya misokoto ya Bangi

nimeongelea kwa upana ishu ya sheria ya upekuzi
 
..Hii kesi ni ya KIPUMBAVU.

..Kwanini jamhuri inapoteza muda na fedha kusumbuana na msichana mdogo kama Wema?

Actually ningemuona JPM hero kama angekuwa anawakumbusha kuhusu kesi zisizo na tija! Ni sawa na kufisadi fedha za walipa kodi.

Hasa kesi za uchochezi, hawajawaho kushinda hata moja...
 
Kwani vipimo cha mkojo vilitoa majibu yepi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo proof kuwa ni yeye alitumia bangi, vipimo vina weza kuwa challenged kuwa huyo mtu anaweza kuwa alivuta thru passive smoking ( passive smoking means moshi wa mtu unaweza kuuvuta na ikaonekana wewe ndo mvutaji hasa ndani ya enclosed atmosphere )
 
Back
Top Bottom