Nimekukataza mifano isiyo na uhalisia wa science! FACTS, BASI! Is a whale a fish? How do you answer this question. There is no wahenga sayings here, you use scientific means to answer the question! That is what Lisu does!A lost sheep for a shephard who does not care for them
Arbitration hujaisikia?Baada ya issue ya MIGA kubuma ameamua kuhamia kwenye misokoto ya bange!?
Wakat mwingne serikali inatia aibu. Vipisi viwili ndio vyakupoteza pesa na mda wa kusikiliza kesi?Lissu alidai kuwa VIPISI VIWILI VYENYE MAJANI UKIVIANGALIA KWA MAKINI , NI VIPISI VYA SIGARA ZA KIENYEJI AMBAYO IMETUMIKA KWA SABABU VINA ALAMA YA KUUNGUA , AMBAVYO KWAO ( SINGIDA ) VINAITWA ' TWAGOOSO '
Akifafanua zaidi wakili huyo alidai kuwa kitu kinachoitwa msokoto wa bangi hakijulikani , kimefungwafungwa karatasi na hakubaliani na upande wa jamhuri kukitoa mahakamani kama kielelezo .
Hatima ya kupokelewa ama kutokupolewa kwa kielelezo hicho mahakamani itajulikana Agosti 18.
Chanzo - Nipashe .
Mungu ibariki CHADEMA
Hahahahaaaaaaa , Twagooso Kali kweli.Kwa hiyo mrembo huwa anatumia twagooso....
Ngoja tusubiri wataalam wa kesi wapambane kwanza...
Twagooso ni uvutaji wa tumbaku...na tumbaku inaruhusiwaKwa hiyo mrembo huwa anatumia twagooso....
Ngoja tusubiri wataalam wa kesi wapambane kwanza...
Wanakuibiaga wenzio ikizid sana buku 5 kesi imeishaWakat mwingne serikali inatia aibu. Vipisi viwili ndio vyakupoteza pesa na mda wa kusikiliza kesi?
Huku mitaan sisi tunapigwa faini tu elf 30
Tatizo kwanini ameingia upinzani. ova!..Kwanini jamhuri inapoteza muda na fedha kusumbuana na msichana mdogo kama Wema?
Nenda shule wewe, na ukifika huko ukaelewe masomo na si kukariri.Mtu anaweza pekuliwa baada ya muda huo kwa makosa yanayoweza leta athari kwa taifa au mauwaji.sheria ipi??? au wewe akili zako ni za kuambiwa tu? unaweza pekuliwa muda wowote kutokana tu na maslahi mapana ya nchi..cha msingi pre requisites za kupekua ziwepo
Mm nawatoaga elf 30 hakimu anachekeleaa...
Kwann asiwe matic aubhata herera....ngooo kante viwango vya chini sana kwa hao wanyama wawiliTundu lissu ishi miaka mingi zaidi....huyu jamaa akiwa mahakamani namfananisha na N'GOLO KANTE
Only in active smoking you get positive urine results. In passive smoking the urinary laboratory results are negative because the amount of bang reaching the blood stream for renal excreation in nanogram per decilitre is negligible. The same is the amount passing the blood-brain barrier in passive smoking to have any brain effect.
Sijaisikia mkuu. Ni kipindi kipya cha sposi (sports)!?Arbitration hujaisikia?
Kwa kifupi inaitwa kukata umemeHiyo ndio kazi ya wakili wa utetezi kuvunja vunja mipango ya upande wa mashitaka na mbwembwe zingine.
Mwisho wa siku kielelezo kitapokelewa tu
Secondhand Pot Smoke Can Make You Fail a Drug Test. ... They may also feel unable to think clearly, and they may even have detectable levels of the drug in their urine or blood. But all of this happens only if they are exposed to marijuana smoke under severely unventilated conditions, the study found.May 19, 2015Only in active smoking you get positive urine results. In passive smoking the urinary laboratory results are negative because the amount of bang reaching the blood stream for renal excreation in nanogram per decilitre is negligible. The same is the amount passing the blood-brain barrier in passive smoking to have any brain effect.
So Wema who had a positive urinary result was definately an active smoker and not a passive one. Her learned advocate who is also her home mate refused to have a urine test for bang most likely because he knew it will be positive. But a search in his house which was conducted after refusing the urine test most likely revealed remnants of the misokoto. Without a complimentary positive urine results, it was not wise to charge him in court of law for illegal bang consumption, so the police dropped the charge. What is interesting in this case is that the accused and her advocate are both illegal bang consumers and the case is for bang consumption!! It is likely to win - chezea wavuta bangi wewe.
Tundu ni kichaa.President Tundu Antipas Lissu.
Yaani haijawahi kutokea kwa chama cha upinzani cho chote hapa duniani! Mara wanatetea vitoto vya shule viwe vinapewa mimba! Mara wanatetea NGOs zinazohamasisha wanaume wa Tanzania wawe wanaoa wanaume wenzao! Yaani Magufuli kawafanya wawehuke. Bado kidogo wataokota makopo.Chadema ya sasa bhana hata haisomeki, mara kutetea wavuta bangi, mara vyeti feki....hujakaa sawa mara watetea wezi, ukihamaki ndio utashangaa zaidi kukuta wanatetea mafisadi!
Inasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
In such conditions whereby a person is locked in an unventilated room full of marijuana smoke at higher than the standard temperature and pressure (stp), that person is forced to actively smoke the marijuana. He has been forced to actively smoke it without his consent. This is no longer passive smoking.Secondhand Pot Smoke Can Make You Fail a Drug Test. ... They may also feel unable to think clearly, and they may even have detectable levels of the drug in their urine or blood. But all of this happens only if they are exposed to marijuana smoke under severely unventilated conditions, the study found.May 19, 2015
In your previous post u refuted the possibility of passive smoking that could lead to postive detection of marijuana in someone urine it's nice that u have realized that there is a possibilities, but again u r trying to mislead by saying if "locked" and abnormal"stp" that is nonseseIn such conditions whereby a person is locked in an unventilated room full of marijuana smoke at higher than the standard temperature and pressure (stp), that person is forced to actively smoke the marijuana. He has been forced to actively smoke it without his consent. This is no longer passive smoking.