Lissu alidai kuwa VIPISI VIWILI VYENYE MAJANI UKIVIANGALIA KWA MAKINI , NI VIPISI VYA SIGARA ZA KIENYEJI AMBAYO IMETUMIKA KWA SABABU VINA ALAMA YA KUUNGUA , AMBAVYO KWAO ( SINGIDA ) VINAITWA ' TWAGOOSO '
Akifafanua zaidi wakili huyo alidai kuwa kitu kinachoitwa msokoto wa bangi hakijulikani , kimefungwafungwa karatasi na hakubaliani na upande wa jamhuri kukitoa mahakamani kama kielelezo .
Hatima ya kupokelewa ama kutokupolewa kwa kielelezo hicho mahakamani itajulikana Agosti 18.
Chanzo - Nipashe .
Mungu ibariki CHADEMA