Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

Unapotosha mkuu

Mchezaji anapokuwa na mgogoro haruhusiwi kuchezeshwa hadi mgogoro uamuliwe kisheria

Tulia utaona mwenyewe hukumu itakavokuwa
Lazima apewe kibali cha kuendeleza(kulinda)kipaji chake,kumbuka OKWI.Kesi itaendelea lakini kwa wakati huo mchezaji lazima aendeleze kipaji chake
 
Sekeseke la simba,yanga (Tanzania),ni tofauti kabisa na kule Congo,na ndio maaana imekuwa rahisi wale kunyang'anywa point
 
Hakuna sheria hiyo ndugu siku hizi,FIFA ilishasema atakapokabidhiwa kombe team bali kila kitu kimeishia hapo,kama mtakuwa na mengine yataendelea lakini suala la kombe halitopatikana
Kauli mbiu ya FIFA ni fair play timu ikivurunda kwa kukiuka utaratibu si tu Kuna adhabu za kulipa fedha pia Kuna kufungiwa kusajili ata kushushwa madaraja Ina tegemea na kosa.
Ishu ya Morrison kabla ata ajasajiliwa na Simba yeye mwenyewe mchezaji alisema Simba wanamrubuni na mtu aliyekua anatumika kuwezesha ilo ni mwandishi Ally salehe ambaye aliahidiwa akifanikisha atapewa kamishen ya Dola 5000 na Dola 5000 zilizo Baki atapewa mchezaji kwa kukubali kauvunja mkataba na Yanga Ayo ni maneno ya Morrison mwenyewe kabla ya kauvunja mkataba.
Yanga wakapeleka malalamiko TFF kua mchezaji wao anarubuniwa na Simba lakini Tff awakutolea maamuzi, kwa ujumla Tff na Simba walishirikiana kuwanyang'anya Yanga mchezaji na upo uwezekano likaja kuwaletea shida kubwa uko FIFA.
 
Kila kitu kipo wazi mkuu, hata TFF walikiri kuwa morrison ana mkataba naYanga ila una mapungufu ila pungufu lenyewe ni lile ambalo haliwezi kufanya mkataba usiwe halali
 
Kila kitu kipo wazi mkuu, hata TFF walikiri kuwa morrison ana mkataba naYanga ila una mapungufu ila pungufu lenyewe ni lile ambalo haliwezi kufanya mkataba usiwe halali
Simba wali mwaga fedha nyingi Sana ili ku mpora Yanga kwa kupitia Tff na pale Tff wote wanajua Yanga waliporwa uyo mchezaji Ila bahati mbaya hawakujua ili uidhulumu Yanga haki yake Inabidi ufanye kazi kubwa Sana.
Sasa ikiwa katika kesi ya CAS Yanga wakishinda ndipo Yanga watakapo fungua kesi ya ku udai ubingwa ambao Tff itakua imeirahisishia Yanga kuliko fikrazao za kuwapoteza.
 
Unapotosha mkuu

Mchezaji anapokuwa na mgogoro haruhusiwi kuchezeshwa hadi mgogoro uamuliwe kisheria

Tulia utaona mwenyewe hukumu itakavokuwa
No mkuu fuatilia sana hili swala, mchezaji ana haki ya kucheza kulinda kipaji chake.
Okwi akiwa na mgogoro na etoile du sahel....aliruhusiwa kucheza villa ili kulinda kipaji chake.
 
Hawataki kusikia ukweli
 
Atapokonywa na nani?
Shirikisho linalosimamia mpira lilimtangaza kuwa mchezaji huru.
Je ni kosa kumsajili mchezaji aliye huru kama ilivyothibitishwa na TFF?
Vipi kwa wale ambao mwisho Wa msimu huwa wananyang'anywa ubingwa kwa kuchezesha mchezaji asiye halali? Kwani vyama vyao vya soka huwa havinawaidhinisha hao wachezaji?
 
Kipindi kile TFF walidai signature ya Morisson ilifojiwa? Hiyo haiwezi kua shida kwa Yanga?
Hawakusema hivyo Bali walisema mkataba ulisainiwa ila ulikuwa na mapungufu hivyo wakaamuru mchezaji awe huru
 
Hivi hamsomi?case imeandikwa Yanga vs Morisson sasa simba anahusishwaje.
 
sidhani hii kesi ni Morison na Yanga na sio Simba na Yanga, anayestahili adhabu ni Morison kama hatoshinda.
Yanga tunashinda hiyo kesi mchana kweupeeeee,cas hamna janja janja eti sijui mtu alikosea saini,na baada ya hukumu automatic kuna timu itahusika na kumchezesha mchezaji asie wao kwenye ligi,sisi kama Yanga tutaomba tutasikitika sana kukosekana kwa morison kwenye match ya mzunguko wa kwanza dhidi yetu,la sivyo tungeomba pointi zetu 2 maana ile game ilikua droo so tulipata point 1,yan hapo mwadui na gwambina walioshuka daraja wana point zao 6 kila m1 🤣,sidhani kama wataziachia hizo pointi 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…