Kesi ya Yanga vs Morisson kusikilizwa

Msoungufu hayo hayasemwi, Ni Siri ya tff na Simba sc
 
Mpaka sasa nimepima hoja zilizotolewa na pande zote tatu, SIMBA, YANGA na MORRISON .

Kwa hoja zilizotolewa na wadau hao majibu ni kwamba Yanga anashinda hii kesi. Mashabiki wa simba wameshindwa kutoa hoja kuntu achilia mbali wale wa Morrison ambao wengi wao ni mashabiki wa simba pia.

Poleni wanasimba na Morrison mmeshindwa kesi mapema sana.
 
We jamaa jipe moyo tu,nani alisema morison yuko huru,walichosema kuna karatasi haijasainiwa,sasa hiyo paper isiyosainiwa ndio ivunje mkataba,kwa taarifa yako Yanga wana hadi receipt salary ya mshahara aliyochukua morison kupitia mkataba ule alioukataa,na kama utakumbuka morison mwenyewe wakati yuko Yanga alitoa clip kama simba wanamrubuni na wamempa dola 5000 kama zawadi, lakini yeye bado ana mkataba Yanga,from nowhere baadae akaukataa ule mkataba,Yanga ilionewa na shinikizo lilitoka hadi kwa washabiki wa mikia walioko serikalini akiwemo bashite na wengineo kibao walimuhakikishia wao ndio kila kitu nchi hii iwe isiwe atachezea mikia,ile clip morison aliongea kiingereza fasaha na ile clip ipo cas,kitendo tu cha kuongea na mchezaji wa timu nyingine akiwa ndani ya mkataba ni kosa,nyie jiandaeni tu 🤣🤣
 
Unaposema anaweza kusajiliwa na timu nyingine una maanisha nini?
Maana yake ni kuwa yupo huru au wewe unaelewa nini mtu akisema yupo huru.
Mapungufu ya mkataba hayawezi kuvunja mkataba otherwise iwe hujapewa mshahara kwa kipindi cha miezi 3,hapo ndio unaweza kudai kuvunja mkataba na fidia juu,hamna mkataba wenye kipengele kinachosema eti sijui umekosea saini page 1 basi ndio mkataba uvunjike,pale mlivaba na tff yenu,nchi ilikua yenu mkajisahau kama hakuna vyombo vya juu zaidi vitakavyotenda haki,bashite na naniliu kawaponza kwa kujifanya wao ndio kila kitu 😂
 
Na pia jiulize TFF wana ubavu wa kugomea maamuzi ya CAS??

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kesi ya Simba na Mazembe, Simba waliishtaki Mazembe na sio mchezaji Bukungu, na waliopewa adhabu ni Mazembe na sio Bukungu.
Yanga isingeweza kuishtaki simba cas kwa kumchezesha mchezaji wao baada ya ile figisu ya tff,walichoamua kutafuta haki ya kuwa yule ni mchezaji wao then ikitoka hukumu sasa ndio wanalianzisha la simba kumtumia mchezaji wao,wana evidence zote clip mchezaji mwenyewe akikiri simba wanamshawishi ikiwa ana mkataba na Yanga,wana hadi msg yan mawasiliano yote between morison na simba,na kosa la kuongea tu na mchezaji wa timu nyingine ni kufungiwa kusajili misimu 2,kosa la kumchezesha kabisa mchezaji wa timu nadhani mnalijua
 
Kipengele kinachovunja mkataba ni kama mchezaji hajapewa salary kww muda wa miezi 3,lakini sio eti saini sijui ilikosewa hamna kitu kama hiyo mkuu,
 
Hata sio kishabiki hapa.....
Mkataba wenye mapungufu means haupo valid, na kama haupo valid means mchezaji yupo huru.
Siyo kila mapungufu hubatilisha mkataba, mapungufu makubwa na yanakwenda kwenye msingi wa mkataba ndio hubatilisha mkataba. Hoja ya Yanga ni kuwa Morrison ana mkataba halali na Yanga. Hoja hii ikisimama maana yake inatengua maamuzi ya TFF. Hivyo Morrison atahesabika ni mchezaji wa Yanga kama mkataba wa Yanga unavyosema, kitakachobakia ni TFF kuishughulikia Simba kwa kuchezesha mchezaji wa Yanga.
Kitendo cha TFF kutokabidhi kombe kwa Simba na kuwaachia watu wengine wafanye kazi hiyo kina maana pana sana.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wote mmeshindwa kuweka mfano wa kesi ya namna hii iliyowahi kuamuliwa na CAS - FIFA? ila kwa kusema kweli na kuweka ushabiki pembeni; Simba sc walifanya makosa ya wazi sana kuhusu suala la Morison.
Kibaya zaidi ni pale TFF wakafanya makosa kwenye maamuzi yao kua kati ya Morison, Yanga na Simba hapakua na pande yenye kosa hivyo amna upande iliyopata adhabu.
Inakujaje maamuzi inakua neutral kwa pande tatu bila ata mmoja kuonekana kua na kosa linalovunja sheria zinazosimamiwa na TFF?
Siasa imetawala sana TFF; wameachana na usimamizi wa sheria zetu; ngoja tusubiri maamuzi ya CASA. Iwapo CAS wataipa Yanga ushindi basi huo ushindi lazima itaigusa Simba kwa vyovyote vile.
 
Kwa hiyo Yanga wanalilia ubingwa wa mezani kutoka CAS. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Subir muda ndo Utajua hujui
 
Uto bana.. mtasema pia simba wamejitengenezea lile kombe.
 
Vipi kesi ikipinduka: Morrison mechi za awali wakati anatua Yanga hakua na mkataba itakuaje?

Maana Hanspop aliwahi kuligusia hilo kua Morisson kwenye usajili wa dirisha dogo alichelewa kusajiliwa na alicheza mechi ya kwanza dhidi ya Singida bila mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…