mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Fisi akisubiri mkono wa binadamu udondoke wakati anatembea!! Namhurumia maana atasubiri sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msoungufu hayo hayasemwi, Ni Siri ya tff na Simba scKwenye mikataba ya wachezaji kuna mapungufu yakitokea kwenye mkataba huo na huwa hayana madhara kwenye mkataba, ila kuna makosa kama kutokuwepo kwa saini mojawapo kati ya pande mbili za mkataba ndo pungufu pekee kwenye mkataba huwa linafanya mkataba usiwe halali, Je, kwenye mkataba wa morrison na Yanga kulikuwa na mapungufu gani?
😁😁 Wabongo tupo kila sekta mzebaba, sheria wote tunajua, mpira wote tunajua si wa hapa tu dunia nzima, siasa tumo usiguse kuhusu afya ndo balaa wote ni madokta.Makanjanja wa sheria wanabwajabwaja humu!!
We jamaa jipe moyo tu,nani alisema morison yuko huru,walichosema kuna karatasi haijasainiwa,sasa hiyo paper isiyosainiwa ndio ivunje mkataba,kwa taarifa yako Yanga wana hadi receipt salary ya mshahara aliyochukua morison kupitia mkataba ule alioukataa,na kama utakumbuka morison mwenyewe wakati yuko Yanga alitoa clip kama simba wanamrubuni na wamempa dola 5000 kama zawadi, lakini yeye bado ana mkataba Yanga,from nowhere baadae akaukataa ule mkataba,Yanga ilionewa na shinikizo lilitoka hadi kwa washabiki wa mikia walioko serikalini akiwemo bashite na wengineo kibao walimuhakikishia wao ndio kila kitu nchi hii iwe isiwe atachezea mikia,ile clip morison aliongea kiingereza fasaha na ile clip ipo cas,kitendo tu cha kuongea na mchezaji wa timu nyingine akiwa ndani ya mkataba ni kosa,nyie jiandaeni tu 🤣🤣Kosa linatoka wapi na mchezaji alishathibitishwa kuwa yupo huru? Ulitaka asicheze tangia mwaka jana mpaka mwaka huu yanga walipoenda kukata rufaa?
Unajua kuwa kuna sheria zinazolinda haki za wachezaji kutunza viwango vyao?
CAS hawatoi point, TFF atapaswa kumpokonya Simba point, Je TFF hao hao waliosema kwamba yupo huru wana haki ya kumpora mtu point kutokana na maamuzi yao wenyewe?
Mapungufu ya mkataba hayawezi kuvunja mkataba otherwise iwe hujapewa mshahara kwa kipindi cha miezi 3,hapo ndio unaweza kudai kuvunja mkataba na fidia juu,hamna mkataba wenye kipengele kinachosema eti sijui umekosea saini page 1 basi ndio mkataba uvunjike,pale mlivaba na tff yenu,nchi ilikua yenu mkajisahau kama hakuna vyombo vya juu zaidi vitakavyotenda haki,bashite na naniliu kawaponza kwa kujifanya wao ndio kila kitu 😂Unaposema anaweza kusajiliwa na timu nyingine una maanisha nini?
Maana yake ni kuwa yupo huru au wewe unaelewa nini mtu akisema yupo huru.
Na pia jiulize TFF wana ubavu wa kugomea maamuzi ya CAS??Kosa linatoka wapi na mchezaji alishathibitishwa kuwa yupo huru? Ulitaka asicheze tangia mwaka jana mpaka mwaka huu yanga walipoenda kukata rufaa?
Unajua kuwa kuna sheria zinazolinda haki za wachezaji kutunza viwango vyao?
CAS hawatoi point, TFF atapaswa kumpokonya Simba point, Je TFF hao hao waliosema kwamba yupo huru wana haki ya kumpora mtu point kutokana na maamuzi yao wenyewe?
Yanga isingeweza kuishtaki simba cas kwa kumchezesha mchezaji wao baada ya ile figisu ya tff,walichoamua kutafuta haki ya kuwa yule ni mchezaji wao then ikitoka hukumu sasa ndio wanalianzisha la simba kumtumia mchezaji wao,wana evidence zote clip mchezaji mwenyewe akikiri simba wanamshawishi ikiwa ana mkataba na Yanga,wana hadi msg yan mawasiliano yote between morison na simba,na kosa la kuongea tu na mchezaji wa timu nyingine ni kufungiwa kusajili misimu 2,kosa la kumchezesha kabisa mchezaji wa timu nadhani mnalijuaKesi ya Simba na Mazembe, Simba waliishtaki Mazembe na sio mchezaji Bukungu, na waliopewa adhabu ni Mazembe na sio Bukungu.
Kipengele kinachovunja mkataba ni kama mchezaji hajapewa salary kww muda wa miezi 3,lakini sio eti saini sijui ilikosewa hamna kitu kama hiyo mkuu,Kwenye mikataba ya wachezaji kuna mapungufu yakitokea kwenye mkataba huo na huwa hayana madhara kwenye mkataba, ila kuna makosa kama kutokuwepo kwa saini mojawapo kati ya pande mbili za mkataba ndo pungufu pekee kwenye mkataba huwa linafanya mkataba usiwe halali, Je, kwenye mkataba wa morrison na Yanga kulikuwa na mapungufu gani?
Siyo kila mapungufu hubatilisha mkataba, mapungufu makubwa na yanakwenda kwenye msingi wa mkataba ndio hubatilisha mkataba. Hoja ya Yanga ni kuwa Morrison ana mkataba halali na Yanga. Hoja hii ikisimama maana yake inatengua maamuzi ya TFF. Hivyo Morrison atahesabika ni mchezaji wa Yanga kama mkataba wa Yanga unavyosema, kitakachobakia ni TFF kuishughulikia Simba kwa kuchezesha mchezaji wa Yanga.Hata sio kishabiki hapa.....
Mkataba wenye mapungufu means haupo valid, na kama haupo valid means mchezaji yupo huru.
Yanga vs morison,ikithibitika morison mchezaji wa Yanga ni kwamba morison ni mchezaji wa Yanga aliekua anacheza simba kimakosa,automatically simba ilikua inamtumia mchezaji asie wa kwaoHivi hamsomi?case imeandikwa Yanga vs Morisson sasa simba anahusishwaje.
Foolish opinionKipengele kinachovunja mkataba ni kama mchezaji hajapewa salary kww muda wa miezi 3,lakini sio eti saini sijui ilikosewa hamna kitu kama hiyo mkuu,
Atafungiwa kusajili.Je Yanga akishindwa?
Kwa hiyo Yanga wanalilia ubingwa wa mezani kutoka CAS. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ndio maana Tp mazembe baada ya kuona As vita wamechezesha mchezaji ambaye bado alikuwa na mkataba timu aliyotoka, moja moja walipeleka kesi yao kule CAS, na mwisho wa siku As vita kupokwa point za mechi alizocheza yule mchezaji na kuchukuliwa Ubingwa wao kabisa
Subir muda ndo Utajua hujuiAtapokonywa na nani?
Simba anahusika vipi kwenye kesi yenu?
TFF walithibitisha kuwa morrison yupo huru, na usajili wake ulikuwa halali sababu TFF walithibitisha kwamba yupo huru.
Hujui kuwa sheria hizo zinawalinda wachezaji kuendelea kucheza vilabu wavitakavyo wakati kesi zao zikiendelea?
Yanga hatoambulia chochote
Uto bana.. mtasema pia simba wamejitengenezea lile kombe.Siyo kila mapungufu hubatilisha mkataba, mapungufu makubwa na yanakwenda kwenye msingi wa mkataba ndio hubatilisha mkataba. Hoja ya Yanga ni kuwa Morrison ana mkataba halali na Yanga. Hoja hii ikisimama maana yake inatengua maamuzi ya TFF. Hivyo Morrison atahesabika ni mchezaji wa Yanga kama mkataba wa Yanga unavyosema, kitakachobakia ni TFF kuishughulikia Simba kwa kuchezesha mchezaji wa Yanga.
Kitendo cha TFF kutokabidhi kombe kwa Simba na kuwaachia watu wengine wafanye kazi hiyo kina maana pana sana.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app