changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mbona unarudi nyuma mkuu? Yanga wameenda cas kwasababu wameona TFF wameshinda kutatua mgogoro wao na Morrison. Ndio maana nimeuliza je hao cas kazi yao ni kusikiliza tu hawapo kwaajili ya kutoa hukumu? Kama wanatoa hukumu kwanini Yanga warudi tena kwa TFF ambao walishindwana mwanzoni?Kesi waliyopeleka yanga ni dhidi ya morrison.
Hivyo wakishinda hiyo kuwa ni mchezaji wao itawabidi kurudi TFF kuishtaki simba kuwa imechezesha mchezaji wao.
Sidhani kama kesi iliyopo kule ni simba kuchezesha mchezaji wa yanga.