Kesi ya yule kijana wa benki alikuwa anaibiia watu hela imefikia wapi?

Kesi ya yule kijana wa benki alikuwa anaibiia watu hela imefikia wapi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi,

Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja.

Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi?

Yoyote humu anayejua atuupdate.
 
Back
Top Bottom