Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

Wapi wamesema DNA haikufanyika!! Unajuaje mashahidi wanaofuata atakuja shahidi toka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali, maana victim kawaida huwa shahidi wa kwanza na mashahidi hawaji siku moja na kesi haisikilizwi siku moja, sioni utata hapo,
Soma vizuri toleo la mwisho la gazeti uelewe mkuu
 
Achana na nadharia mkuu,weka sheria iliyozuia
266EDFC6-7243-4EA2-BCAA-CC3425F91C12.jpeg

tpaul sheria zimetungwa nendeni mkajisomee
 
Tatizo lenu malaya wa Town mnapenda kujichekesha chekesha kama Matahira!

Wewe na Matahira wenzio nimewaambia muweke hapa Sheria inayokataza baba au mama kutembea au kuzaa na mwanaye!
🤣🤣🤣🤣 Ko malayer mwenzetu umeanza kupanda watoto wako?
 
🤣🤣🤣🤣 Ko malayer mwenzetu umeanza kupanda watoto wako?
Naona kila siku unaniwaza niwe mumeo,aliyekwambia mimi na malaya kama wewe wapi na wapi?

Wewe siunachokoraa mwenzio humu JF inamaana akusikumii Mkunyubenga kisawasawa?
 
Naweza kutembea naye ndiyo!.

Haya nieleze sheria niliyovunja hapo
FF1D2D3C-BEB0-4207-AF90-750B37C2B43B.jpeg



Nazani tuna kumbuka kesi ile ya Prof wa pale SUA alivyo pelekwa mahakamani na mkewe baada ya kumfumani ana mwanamke mwingine nje ya ndoa yao

Na alimdai zaidi ya 100M kama sikosei na hataki ndoa Au kuendelea na ndoa ile

😂😂

 
Kesi ya baba kuzaa na mwanaye watoto 3 imechukua sura mpya baada ya binti huyo aliyekimbilia polisi kufungua kesi kukana mashtaka baada ya kesi kufikishwa mbele ya hakimu huko Rufiji.

Awali binti huyo alidai kuwa baba yake alianza kumgegeda tangu mwaka 2019 na kufanikiwa kuzaa naye watoto 3 na watoto wote wamepewa ubini wa baba yake mzazi kudhihirisha kuwa yeye ndiye aliyemzalisha watoto hao.

Soma zaidi:

Tatizo lilianzia hapa:
1. Polisi wamdaka baba anayedaiwa kuzaa na bintiye

2. Baba anayedaiwa kuzaa na bintiye afikishwa mahakamani, arudishwa tena polisi

Utata wa kwanza:
Kesi hii inadhihirisha udhaifu uliopo kwenye jeshi letu la polisi hasa kitengo cha upelelezi. Polisi wanadai upelelezi umekamilika. Je, upelelezi utakamilikaje kabla ya kupima DNA? Ina maana wanafanya kazi kwa kusikiliza maneno ya watu? (rejea mwanzo wa sakata hili)

Utata wa pili:
Baba kumgegeda bintiye kwa muda wa miaka 4 na kuzaa naye watoto 3 huku jamii ikishuhudia, huu nao ni utata unaodhihirisha jinsi jamii yetu ilivyokengeuka. Inakuwaje baba amgegede bintiye kwa muda wote huo bila uongozi wa kitongoji, kijiji na kata kuchukua hatua? Kama ningekuwa na mamlaka ya kusimamia jambo hili, hawa viongozi wote ningewsukumia ndani ili liwe fundisho kwa wengine.

MAONI YANGU
Natoa wito kwa jeshi la polisi kufanya kazi kiuweledi badala ya kutumia mbinu za ujima kuwafungulia watu mashtaka (ya kweli au ya uongo). Polisi kufanya kazi kwa mazoea kunasababisha watu kufungwa kwa makosa wasiyotenda au wenye makosa kuachiwa huru kwa sababu ya kutokuwepo ushahidi wa kutosha.

Najiuliza: Ina maana polisi walishindwa hata kuomba vyeti vya kuzaliwa hawo watoto ili vitumike kama ushahidi? Kwenye vyeti vya kuzaliwa jina la baba huandikwamo na pia baba hutakiwa kuhudhuria kliniki. Je, polisi walishindwa hata kuwaomba manesi wawape ushahidi kuhusu baba halisi wa watoto aliyekuwa akihudhuria kliniki?

Ifike mahali jeshi la polisi lijithathmini upya katika utendaji wake ili kuepuka kuabika hadharani kiasi hiki.

Nawasilisha.
Si mnasemaga hakuna sababu ya kupima DNA kwa sababu serikali haitaki watoto wa mitaani??

😆😆😆
 
Dawa ni ccm kuondoka madarakani......umaskini ni mzogo na chanzo cha maovu yoote
 
View attachment 2793305


Nazani tuna kumbuka kesi ile ya Prof wa pale SUA alivyo pelekwa mahakamani na mkewe baada ya kumfumani ana mwanamke mwingine nje ya ndoa yao

Na alimdai zaidi ya 100M kama sikosei na hataki ndoa Au kuendelea na ndoa ile

😂😂
Mkuu kushikwa Ugoni ni kosa laki si kosa kutembea na Mwanao au Mzazi wako,Kila siku tunajionea watu kibao wanatembea na wazazi/watoto wao!

Mtu mzima mwenye akili zake timamu katembea na baba yake au mama yake,wewe utasemaje ni kosa?

Sawa,nakubali kimaadili haipendezi na hata Vitabu vya Mungu vimekataza lakini pamoja na hayo yote bado hilo haliwezi kuondoa uhalali wa watu kuwa kwenye mahusiano kama wamependana!
 
Haya mambo yameenea sana wakati huu na ndiyo maana watoto wa mitaani wengi, malaya, makahaba wengi, mashiga wengi.

Hata bibilia ina mstari kuhusu ukahaba kuzidi ikiwa mababa watawalala watoto zao.

Umalaya ukahaba hauishi mpaka watu waache kutenbea na mabinti zao na dada zao na wapwa zao.

Hili ni janga linalotaka elimu na mbinu za hali ya juu kukabiliana nalo, kwa mawaaziri wapiga porojo za kisiasa na zima moto kama kina Dkt. Gwajima D tusitegemee lolote jipya kwenye ustawi wa jamii.

Hata mashoga 90% huanza kuharibiwa makwao, na baba, kaka, mjomba, wanaume wa mama zao.

Ni janga.
 
Naona kila siku unaniwaza niwe mumeo,aliyekwambia mimi na malaya kama wewe wapi na wapi?

Wewe siunachokoraa mwenzio humu JF inamaana akusikumii Mkunyubenga kisawasawa?
🤣🤣🤣 Mzee wa BMW mbona povu jingi? Nini mbaya?
Ila T unanichekeshaga sana aiseee!!
Atakayewaza kuwa na mume km wewe unayelala na wanao naye kichaa mwenzio,
 
Back
Top Bottom