Walifikir jumatatu mbali kesho wakimbie tena waone, sisi tunataka tuone nani mbabe maana wamezoea kutisha watu .Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini .
Sasa
Sasa tatizo hizi kesi zitaleta wawekezaji nà kuwa na Imani, na pia wananchi walio wengi watakuwa na Imani na hizi taasisi. Na Mwisho je uweledi wa mtu mmoja moja na wa kitaasisi una ongezeka au una kufaUkisoma maelezo ya kesi hizi za mchongo, utadhani yameandikwa na mtu mmoja aliyekariri, Polisi wanabadilisha tu majina ya watuhumiwa na tarehe, lakini script ni ile ile.
😀😄😂🤣Walifikir jumatatu mbali kesho wakimbie tena waone, sisi tunataka tuone nani mbabe maana wamezoea kutisha watu .