Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Kuna mtu alishawahi kusema ndoa sio ya kuikurupukia, nimeanza kumuamini

Watu wanawekeza sana kwenye Arusi na sio Ndoa!
Unakuta Harusi kadi zimeandaliwa kama Visa ya kusafiria kwa gharama kubwa bufee kama lote amapiano tutaruka na kisha miezi mitatu baadae unasikia Talaka
 
Ndoa ni nini? Ndoa ni furushi la matatizo yanayo poteza furaha kabisa hatimae kujuta kuoa.
 
Utajali vipi mtu usiempenda si ni mateso hayo?! Why sasa kujipa maumivu kila uchao kwa kutimiza masharti ya jambo gani?
Hivi unadhani wenye wake 4 wanapenda wote?? Hakuna moyo WA zaidi ya watu wawili kwenye mapenzi. Pale anawajali tu kwa majukumu yote kimwili etc. So Mwanaume a naweza asimp3nde mwanamke na akamjali kwa Yote.
 
Mambo Mengine ni ku "exagurate tu,yanakuzwa bila sababu,Dar ina watu milioni zaidi ya 3,mashauri ya ndoa 2500+!Dar kumbi za sherehe huwa zinakuwa booked miezi hata mitatu!ndoa kibao zinafungwa kila wiki!!sasa hayo mashauri 2000,its drop in a ocean!!?it's not serious,vitu serious ni tozo na bei ya mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…