Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Yote hayatonishinda,ila 2 sasa....utakuwa unaacha hela ya kutosha pia🤦?
hio sio shida tena Kwa mahabah niliyonayo naona kama vile kuacha ela nikumtesa mwanamke nitakuwa naenda kuemea mwenyewe yeye Kaz yake ni kuniambia vinavyo hitajika tu
 
Wooow! 🥵Tuoane kesho bas,eti?! Hv kesho ni alhamis🤦damn...iwe jumamos bas,eti? 🙄 .....ukija pata mwanamke ana haraka na ndoa kias hiki ujue anataka maonyesho tu.Mungu awapambanie vijana wa kiume mliotulia ...mapenz ni shida sikuhiz Patra31
 
tena hapo unakuta wana behave kimalaika kabisa kama sisi masingle father utasikia wanatwambia "honey uoni binti yetu kakua inabidi tumtaftie mdogo wake asiwe mpweke"😂😂😂 jichanganye sasa hapo uone moto.

Ngoja kwanza mm niendelee kujipanga tu
 
Ukikaa poa nishtue bas tuunganishe mitambo
 
Kwa upande mmoja ukitazama ni hivyo ila kwa upande mwingine inakatisha tamaa, mtu anaona ni kama ndoa haina thamani tena maana watu wanaingia na kutoka ovyo, lakini pia mtu anaweza kuingiwa na uwoga kuwa huko kwenye ndoa kuna nini hadi watu wanatoka spidi wakati waliingia kwa hiari
Wewe unadhani upande upi unachukua asilimia kubwa, wa kukatisha tamaa au wa kumfanya mtu aingie amejiandaa kutatua changamoto?
 
Back
Top Bottom