Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And vise versa, mwanaume ndiye anaepoteza kwenye hilo tendo.Umeiweka ionekane kama mwanamke anapoteza kwenye hilo tendo...we are both having fun bro
Umenikumbusha movie ya the bread winnerWanawake hawataki tena kuwa chini ya wanaume!!!!.......ngoja nihamie afghanstan,,,,,kule taleban ni kiboko ya wanawake!!!!
Umemsifu bure tu mama D, yeye anazungumzia imani na tamaduni zetu ndio zitadumisha ndoa, Hii ni self contradictory kwa sababu imani zetu na tamaduni zetu zinatofautiana, na zingine zinapingana waziwazi, tamaduni ipi na imani ipi ndio inayodumisha ndoa?100% nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe mama D
NB: Everyone anapaswa kusoma hiki ambacho umeeandika, esp. ile jinsia M
GoodNazijua mimi Gemini [emoji751], naelewa sana.
Nikadhani umeelewa. Sasa usikosoe kabla hujaelewa. Ungeuliza swali lako tu ili ujibiwe. mama D ndiyo funga kazi wa masuala hayo, msikilize utapa mume mwema (or mke kama ni mkaka)Umemsifu bure tu mama D, yeye anazungumzia imani na tamaduni zetu ndio zitadumisha ndoa, Hii ni self contradictory kwa sababu imani zetu na tamaduni zetu zinatofautiana, na zingine zinapingana waziwazi, tamaduni ipi na imani ipi ndio inayodumisha ndoa?
Nimeeleza sababu za kukosoa ambazo ziko katika mfumo wa swali, kama unaweza kujibu swali itakuwa vizuri, kama huwezi pia ni sawa tu.Nikadhani umeelewa. Sasa usikosoe kabla hujaelewa. Ungeuliza swali lako tu ili ujibiwe. mama D ndiyo funga kazi wa masuala hayo, msikilize utapa mume mwema (or mke kama ni mkaka)
Wanaona uzushi nahisiWanawake hawataki tena kuwa chini ya wanaume!!!!.......ngoja nihamie afghanstan,,,,,kule taleban ni kiboko ya wanawake!!!!
Maadili tu hakuna,jamii imeoza..na huanzia nyumbani,pia tangu mwanamke ajue haki zake ndoa zimekua shindaTukiri tu wengi hatuna elimu ya ndoa, hii elimu ingefunzwa tangu mashuleni na mavyuoni ingefaa sana
Nahisi wanawake tangu zamani walikua wanateseka ila kutokana na kukosa vipato walikua wanaona hawana pa kwendaHivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.
Ina maana walikua wananyanyasika sana ama?Maadili tu hakuna,jamii imeoza..na huanzia nyumbani,pia tangu mwanamke ajue haki zake ndoa zimekua shinda
Tumeshaambiwa wanawake ni kama wanasiasa kabla ya ndoa wapole kweli ilia wakishaolewa na kupata watoto mwanaume huna thamani tenaIna maana walikua wananyanyasika sana ama?
Ila kuna kitu upande wa wababa nako huwa hawakubali mhh
Haya ngoja tuone
Lakini zama hizi mhh
Ni kuwa makini sana
Oa mtu ambae unaona ana uhitaji na hiyo ndoa na pia jitahidi usimkere sana vipigo nk
Wanawake sikuhz spana mkononi
Wanawake wananyanyasika na kusemwa vibaya na jamii wasipoolewa..na wasemaji hasa ni wanaume na wadanganyaji piaTumeshaambiwa wanawake ni kama wanasiasa kabla ya ndoa wapole kweli ilia wakishaolewa na kupata watoto mwanaume huna thamani tena
Ndoa nyingi za wanawake kutoa nuksi tuu huo ndio ukweli wa mambo.Wanawake wananyanyasika na kusemwa vibaya na jamii wasipoolewa..na wasemaji hasa ni wanaume na wadanganyaji pia
Hivyo baadhi wanaingia ndoani kutoa nuksi wakati mume kapenda
Lazima kiumane
Kila mtu ana autonomy yake na maamuzi yake. Tatizo jamii yetu inapenda unafiki, watu hawaishi maisha yao, wanataka kuishi maisha ya kupangiwa na jamii. Ndiyo maana unakuta mwanamke anapigwa mpaka anataka kuuawa, lakini yupo katika ndoa tu, anaogopa aibu ya talaka, mwishowe anauawa.Hakunaga jambo kama kushindwa kuishi pamoja. Ila kuna mwenye tabia mbovu kumsumbua ambaye ana mwenendo mzuri.
Sasa nikuulize, mfano huyo dada hapo, kwa hizo tabia zake, wahisi jamii (wazazi wake,ndugu,rafiki,majirani,serikali na taasisi)ingemkazia na kumkemea na kupewa sanctions kutokana na matendo yake angeendelea kumsumbua mwenzake?!
Kama unatetea watu kuwa huru kufanya wanavyojiskia na kufuata wehu wa vichwa vyao unavyowapelekesha, then tusizungumzie kumomonyoka kwa maadili, watoto wa mitaani, rushwa serikalini, viongozi wa hovyo serikalini, uhalifu, magonjwa ya zinaa. Sababu haya yote yanachangiwa na mahusiano mabovu kati ya mume na mke, lakini zaidi yanachangiwa na mfumo mbovu wa malezi ya watoto na mazingira mambovu ya amani majumbani.
Mpumbavu pekee ubomoa ndoa yake kwa kupaste aonacho.Maadili tu hakuna,jamii imeoza..na huanzia nyumbani,pia tangu mwanamke ajue haki zake ndoa zimekua shinda
Kwahiyo ndo umeghairi Ile issue?Aisee!? Shida wengi wanaingia kwenye hizo ndoa wakiwa wahajakomaa kiakili wanazania wataishi daima kama walivyo kuwa wanaishi maisha ya uchumba