Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Watu wanaoana bila tafiti. Zipo tabia haziendani, zipo herufi za majina haziendani, zipo number za majina haziendani, ipo miungu, mizimu haiendani. Roho zinashambuliwa wengi hawajui kinga za kiroho, kusafisha Roho zilizochafuka. Vyote hivi uleta misuguano kwenye mahusiano na kupelekea watu kutengana.
Ndoa ni mawimbi kwann uogope mawimbi
Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.

Ukijifunza kuishi na mwenzako kwa namna alivyo kisha kidogo kidogo mkasaidiana kujiboresha ndipo hapo utaanza kuona ndoa inakwenda.

Mahusiano ya ndoa yamepishana kidogo sana na mahusiano ya ndugu. Ndugu zako, wazazi wako huwa wanakuwa na tofauti nyingi sana mbona unabakia nao hauachani nao?!

Kuna ndugu wana maudhi na kero, wazazi wana tabia za hovyo na kero ila unatafuta namna ya kuishi nao why katika mahusiano ushindwe kufanya hivyo kwa mtu ambaye ataishi na wewe vile vile kama familia yako?!

Nadhani kuna visingizio vingi kushinda uhalisia. Ila yote kwa yote hesabu za hasara tunazotengeneza tutalipia hapa hapa. Naona watu wameamua tu kukaza mafuvu ila ukweli ni kwamba tunapoelekea madhara yatakuja kuwa makubwa sana katika jamii.

Wanawake ndio wapo katika hatari zaidi ya kuyavaa haya madhara. Ni muda muafaka sasa wa kubadili namna tunavyoishi ili mambo yakae sawa na tuweze kujiimarisha. Hii jamii ni yetu sote, kwann tunaibomoa kibwege hivi?
 
Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.
Tuanze kuwa wakali. Unajua sisi tumeshakuwa tabaka la wazazi kwa sasa. Hawa wazee wetu kazi imewashinda ndio maana mambo yanaporomoka kwa kasi sana.
 
Na rate ya hii kitu inaongezeka kila kukicha. Na zikija zile sheria za magharibi za kumfanya mwanamke ashike mpini mazima. Ndo wanaume hawatooa tena. Shetani ameshamkumbuka rafiki yake WA bustanini ndo wanapiga story now kuwa asikubali kumsikiliza Mwanaume au kuwa chini ya Mwanaume na anamletea sheria za kumlinda. Kama ukitaka kuishi kwa raha kipindi hiki Usioe. Ukioa USIMPENDE huyo mwanamke Bali MJALI TU. Hameshajiweka as commodities now so let's use them as commodities [emoji489][emoji41]
Utajali vipi mtu usiempenda si ni mateso hayo?! Why sasa kujipa maumivu kila uchao kwa kutimiza masharti ya jambo gani?
 
Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.

Ukijifunza kuishi na mwenzako kwa namna alivyo kisha kidogo kidogo mkasaidiana kujiboresha ndipo hapo utaanza kuona ndoa inakwenda.

Mahusiano ya ndoa yamepishana kidogo sana na mahusiano ya ndugu. Ndugu zako, wazazi wako huwa wanakuwa na tofauti nyingi sana mbona unabakia nao hauachani nao?!

Kuna ndugu wana maudhi na kero, wazazi wana tabia za hovyo na kero ila unatafuta namna ya kuishi nao why katika mahusiano ushindwe kufanya hivyo kwa mtu ambaye ataishi na wewe vile vile kama familia yako?!

Nadhani kuna visingizio vingi kushinda uhalisia. Ila yote kwa yote hesabu za hasara tunazotengeneza tutalipia hapa hapa. Naona watu wameamua tu kukaza mafuvu ila ukweli ni kwamba tunapoelekea madhara yatakuja kuwa makubwa sana katika jamii.

Wanawake ndio wapo katika hatari zaidi ya kuyavaa haya madhara. Ni muda muafaka sasa wa kubadili namna tunavyoishi ili mambo yakae sawa na tuweze kujiimarisha. Hii jamii ni yetu sote, kwann tunaibomoa kibwege hivi?
Umenena kweli kabisa sema wengi hawana elimu kuhusu ndoa na mahusiano wanatafuta malaika kitu ambacho sio rahisi,kwa utafiti wengi baada ya kuachana ujutia mbeleni maamuzi hayo sema tu ndio hivyo ukijaza tu.
Wengi wameachana kwa sababu zaidi ni ubinafsi tu.
Na ukishaanza kuachana unapanda roho ya kuachana kwenye uzao wako, sababu wanaiga kwa mzazi.Sema pana hizo kanuni na taratibu zimetafitiwa na watu Ili kuepusha risk ya kuachana.
Kuwa na uwezo wa kuishi na mtu mwenye tabia ngumu ni neema ni kipaji na sio wote wamejaliwa.
 
Hiyo elimu ilitumika wapi na mwaka gani?! Hivyo ni visingizio tu vya watu wasiojua wanachofanya. Mtu ukiwa serious unajua ndoa ni majukumu na wajibu. Baaasi.
Well, upo sahihi but kuna wataalam wanazijua hizi elimu za astrology na numerology. Yamkini wewe huzijui but kuna wataalamu
 
Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.

Ukijifunza kuishi na mwenzako kwa namna alivyo kisha kidogo kidogo mkasaidiana kujiboresha ndipo hapo utaanza kuona ndoa inakwenda.

Mahusiano ya ndoa yamepishana kidogo sana na mahusiano ya ndugu. Ndugu zako, wazazi wako huwa wanakuwa na tofauti nyingi sana mbona unabakia nao hauachani nao?!

Kuna ndugu wana maudhi na kero, wazazi wana tabia za hovyo na kero ila unatafuta namna ya kuishi nao why katika mahusiano ushindwe kufanya hivyo kwa mtu ambaye ataishi na wewe vile vile kama familia yako?!

Nadhani kuna visingizio vingi kushinda uhalisia. Ila yote kwa yote hesabu za hasara tunazotengeneza tutalipia hapa hapa. Naona watu wameamua tu kukaza mafuvu ila ukweli ni kwamba tunapoelekea madhara yatakuja kuwa makubwa sana katika jamii.

Wanawake ndio wapo katika hatari zaidi ya kuyavaa haya madhara. Ni muda muafaka sasa wa kubadili namna tunavyoishi ili mambo yakae sawa na tuweze kujiimarisha. Hii jamii ni yetu sote, kwann tunaibomoa kibwege hivi?
Mkuuu umeongea kitu cha msingi sana, nimeyapenda haya maoni yako, nimekuelewa sana hizi points zako sababu nimepitia aina ya mahusiano ya points zako hizi,

Haya mambo haya tusipotumia akili, hekima na busara za kuridhika na kukubaliana na hali halisi ya vile tulivyonavyo na vunavyotuzunguka yatatugharimu sana.
 
Watu wamekuwa wajuaji sana au shida ni gani!!!
Zamani nilikuwa nafikiri talaka ni kitu kibaya sana.

Na kwa kiasi kikubwa napenda ndoa zidumu.

Ila, kitu kingine, kibaya zaidi, ni watu wasioelewana wala kupendana kulazimisha kukaa katika ndoa.

Hapa ndipo utakapoona visa vya kila aina, mpaka wengine wanauana.

Kwa hivyo, ni bora watu wapeane talaka, kuliko kuishi katika ndoa ambayo haina maelewano wala upendo.
 
Kijana wangu wa miaka 21 alirudi nyumbani na habari njema ya kutaka kuoa.. wala sikumpinga, badala yake nikamwambia kijana wangu karibu kwenye matatizo.. toka siku hyo naona anaendelea na mishe zake, wazo la kuoa halipo tena
 
Changamoto ya maswala ya mahusiano huwa inaanza na makuzi na malezi ya hawa wahusika.

Makuzi ya kizazi hiki hayakulenga kabisa kuandaa vijana na mabinti kwaajiri ya ndoa. Walikuwa wanahimizwa kusoma kwa bidii na kufaulu darasani ila mambo mengine walikuwa hawatiliwi mkazo hata kidogo.

Wazazi wa kike walikuwa busy kuwatemea mabinti zao sumu zao za kimahusiano bila kujua zile sumu zlikuwa zinakwenda straight kwenye subconscious na kuwafanya siku za baadae kutumia yale maneno kufanya maamuzi ya mahusiano kwa hofu.

Watoto wa kiume tumeandaliwa kisaikolojia kuishi na mwanamke kwa sisi kubeba mzigo wa gharama za kifedha na kihisia hata kama itauma vipi au kutugharimu bila kuacha na kutaambiwa mwanamke anapenda mwanaume kutoka moyoni ile hali kiuhalisia mwanamke anafuata mwanaume atayempatia mahitaji yake na masilahi nje ya hapo hatoona haja ya kuwa na mahusiano wala umuhimu wa ndoa.

Mifumo ya kijamii ya kusimamia taasisi ikiwamo ndoa kwa sasa inafeli na imekosa wasimamizi madhubuti wa kuisimamia. Kwa kifupi tunakoelekea sio kuzuri na kutaturejesha nyuma sana kijamii na kiuchumi.

Tunatakiwa kushituka sana na haraka sana hivi sasa. Wanawake mnatuangusha sana. Haya matatizo ya kimahusiano asilimia kubwa ninyi ndio escalators nambari one. Tukisema mnaleta ligi za kubishana ila huo ndio ukweli.
 
Zamani nilikuwa nafikiri talaka ni kitu kibaya sana.

Na kwa kiasi kikubwa napenda ndoa zidumu.

Ila, kitu kingine, kibaya zaidi, ni watu wasioelewana wala kupendana kulazimisha kukaa katika ndoa.

Hapa ndipo utakapoona visa vya kila aina, mpaka wengine wanauana.

Kwa hivyo, ni bora watu wapeane talaka, kuliko kuishi katika ndoa ambayo haina maelewano wala upendo.
Hakunaga jambo kama kushindwa kuishi pamoja. Ila kuna mwenye tabia mbovu kumsumbua ambaye ana mwenendo mzuri.

Sasa nikuulize, mfano huyo dada hapo, kwa hizo tabia zake, wahisi jamii (wazazi wake,ndugu,rafiki,majirani,serikali na taasisi)ingemkazia na kumkemea na kupewa sanctions kutokana na matendo yake angeendelea kumsumbua mwenzake?!

Kama unatetea watu kuwa huru kufanya wanavyojiskia na kufuata wehu wa vichwa vyao unavyowapelekesha, then tusizungumzie kumomonyoka kwa maadili, watoto wa mitaani, rushwa serikalini, viongozi wa hovyo serikalini, uhalifu, magonjwa ya zinaa. Sababu haya yote yanachangiwa na mahusiano mabovu kati ya mume na mke, lakini zaidi yanachangiwa na mfumo mbovu wa malezi ya watoto na mazingira mambovu ya amani majumbani.
 
Lengo la kuchapisha hii habari ni lipi? Mwandishi nae hana nia njema na hii taasisi
Mmh! Mimi nadhani hiyo ni nia njema, watu wengi wanaingia kwenye ndoa uninformed, ukijua unaingia kwenye changamoto unajiandaa kushughulika nazo.
 
Back
Top Bottom