kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
hiyo ya ukata sikubaliani nayo mkuu hata matajiri wanaachana mazee!!Matatizo makuu na sumu kwa ndoa za mjini.
1. Ukata
2.Ulimbukeni
3.Nyege Mshindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ya ukata sikubaliani nayo mkuu hata matajiri wanaachana mazee!!Matatizo makuu na sumu kwa ndoa za mjini.
1. Ukata
2.Ulimbukeni
3.Nyege Mshindo
Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.Watu wanaoana bila tafiti. Zipo tabia haziendani, zipo herufi za majina haziendani, zipo number za majina haziendani, ipo miungu, mizimu haiendani. Roho zinashambuliwa wengi hawajui kinga za kiroho, kusafisha Roho zilizochafuka. Vyote hivi uleta misuguano kwenye mahusiano na kupelekea watu kutengana.
Ndoa ni mawimbi kwann uogope mawimbi
Hiyo elimu ilitumika wapi na mwaka gani?! Hivyo ni visingizio tu vya watu wasiojua wanachofanya. Mtu ukiwa serious unajua ndoa ni majukumu na wajibu. Baaasi.sasa sio wote wana elimu ya numerology/astrology mkuu
Tuanze kuwa wakali. Unajua sisi tumeshakuwa tabaka la wazazi kwa sasa. Hawa wazee wetu kazi imewashinda ndio maana mambo yanaporomoka kwa kasi sana.Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.
Utajali vipi mtu usiempenda si ni mateso hayo?! Why sasa kujipa maumivu kila uchao kwa kutimiza masharti ya jambo gani?Na rate ya hii kitu inaongezeka kila kukicha. Na zikija zile sheria za magharibi za kumfanya mwanamke ashike mpini mazima. Ndo wanaume hawatooa tena. Shetani ameshamkumbuka rafiki yake WA bustanini ndo wanapiga story now kuwa asikubali kumsikiliza Mwanaume au kuwa chini ya Mwanaume na anamletea sheria za kumlinda. Kama ukitaka kuishi kwa raha kipindi hiki Usioe. Ukioa USIMPENDE huyo mwanamke Bali MJALI TU. Hameshajiweka as commodities now so let's use them as commodities [emoji489][emoji41]
Umenena kweli kabisa sema wengi hawana elimu kuhusu ndoa na mahusiano wanatafuta malaika kitu ambacho sio rahisi,kwa utafiti wengi baada ya kuachana ujutia mbeleni maamuzi hayo sema tu ndio hivyo ukijaza tu.Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.
Ukijifunza kuishi na mwenzako kwa namna alivyo kisha kidogo kidogo mkasaidiana kujiboresha ndipo hapo utaanza kuona ndoa inakwenda.
Mahusiano ya ndoa yamepishana kidogo sana na mahusiano ya ndugu. Ndugu zako, wazazi wako huwa wanakuwa na tofauti nyingi sana mbona unabakia nao hauachani nao?!
Kuna ndugu wana maudhi na kero, wazazi wana tabia za hovyo na kero ila unatafuta namna ya kuishi nao why katika mahusiano ushindwe kufanya hivyo kwa mtu ambaye ataishi na wewe vile vile kama familia yako?!
Nadhani kuna visingizio vingi kushinda uhalisia. Ila yote kwa yote hesabu za hasara tunazotengeneza tutalipia hapa hapa. Naona watu wameamua tu kukaza mafuvu ila ukweli ni kwamba tunapoelekea madhara yatakuja kuwa makubwa sana katika jamii.
Wanawake ndio wapo katika hatari zaidi ya kuyavaa haya madhara. Ni muda muafaka sasa wa kubadili namna tunavyoishi ili mambo yakae sawa na tuweze kujiimarisha. Hii jamii ni yetu sote, kwann tunaibomoa kibwege hivi?
sema elimu za dini zifundishwe kwa madarasa yote na liwe somo rasmi kuanzia chekechea hadi form six,kwangazi zote izo mtoto akizipitia imani hujengeka moyoni mwakeTukiri tu wengi hatuna elimu ya ndoa, hii elimu ingefunzwa tangu mashuleni na mavyuoni ingefaa sana
Well, upo sahihi but kuna wataalam wanazijua hizi elimu za astrology na numerology. Yamkini wewe huzijui but kuna wataalamuHiyo elimu ilitumika wapi na mwaka gani?! Hivyo ni visingizio tu vya watu wasiojua wanachofanya. Mtu ukiwa serious unajua ndoa ni majukumu na wajibu. Baaasi.
Mkuuu umeongea kitu cha msingi sana, nimeyapenda haya maoni yako, nimekuelewa sana hizi points zako sababu nimepitia aina ya mahusiano ya points zako hizi,Hivi ni visingizio. Tatizo mnatafuta perfection katika character ya mwenza jambo ambalo si sahihi. Kila mtu anamapungufu ambayo yanamfanya aonekane ni tatizo kama ukiyapa uzito hayo mapungufu.
Ukijifunza kuishi na mwenzako kwa namna alivyo kisha kidogo kidogo mkasaidiana kujiboresha ndipo hapo utaanza kuona ndoa inakwenda.
Mahusiano ya ndoa yamepishana kidogo sana na mahusiano ya ndugu. Ndugu zako, wazazi wako huwa wanakuwa na tofauti nyingi sana mbona unabakia nao hauachani nao?!
Kuna ndugu wana maudhi na kero, wazazi wana tabia za hovyo na kero ila unatafuta namna ya kuishi nao why katika mahusiano ushindwe kufanya hivyo kwa mtu ambaye ataishi na wewe vile vile kama familia yako?!
Nadhani kuna visingizio vingi kushinda uhalisia. Ila yote kwa yote hesabu za hasara tunazotengeneza tutalipia hapa hapa. Naona watu wameamua tu kukaza mafuvu ila ukweli ni kwamba tunapoelekea madhara yatakuja kuwa makubwa sana katika jamii.
Wanawake ndio wapo katika hatari zaidi ya kuyavaa haya madhara. Ni muda muafaka sasa wa kubadili namna tunavyoishi ili mambo yakae sawa na tuweze kujiimarisha. Hii jamii ni yetu sote, kwann tunaibomoa kibwege hivi?
Amini kwamba,mzee mwenzangu. Matajiri wengi kuachana kwao ni sababu nje ya hizo nilizoainisha mkuuhiyo ya ukata sikubaliani nayo mkuu hata matajiri wanaachana mazee!!
Zamani nilikuwa nafikiri talaka ni kitu kibaya sana.Watu wamekuwa wajuaji sana au shida ni gani!!!
Nazijua mimi Gemini [emoji751], naelewa sana.Well, upo sahihi but kuna wataalam wanazijua hizi elimu za astrology na numerology. Yamkini wewe huzijui but kuna wataalamu
Kabisa. Lengo ni kupandikiza jamii yenye watoto wenye malezi ya hovyo.Kuachana uathiri Sana watoto kuliko wanandoa. Lengo kuu la kuachana Ili watoto wakose mtu wa kuwaongoza
Hakunaga jambo kama kushindwa kuishi pamoja. Ila kuna mwenye tabia mbovu kumsumbua ambaye ana mwenendo mzuri.Zamani nilikuwa nafikiri talaka ni kitu kibaya sana.
Na kwa kiasi kikubwa napenda ndoa zidumu.
Ila, kitu kingine, kibaya zaidi, ni watu wasioelewana wala kupendana kulazimisha kukaa katika ndoa.
Hapa ndipo utakapoona visa vya kila aina, mpaka wengine wanauana.
Kwa hivyo, ni bora watu wapeane talaka, kuliko kuishi katika ndoa ambayo haina maelewano wala upendo.
Mmh! Mimi nadhani hiyo ni nia njema, watu wengi wanaingia kwenye ndoa uninformed, ukijua unaingia kwenye changamoto unajiandaa kushughulika nazo.Lengo la kuchapisha hii habari ni lipi? Mwandishi nae hana nia njema na hii taasisi