Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

Nakupenda, ntakulinda , shida zako zangu, ntakuvumilia kwa yote, ntatimiza wajibu.......Mimi na wewe kifo ndio kitatutenganisha😤 hajafa mtu na wanatengana.
Hakuna watu waongo Kama wanandoa
 
Narudi Jasmoni Tegga ☺☺

Taasisi ya ndoa Kati ya taasisi nyeti alizoanzisha mwenyezi Mungu mwenyewe imekumbwa na dhoruba kubwa sana.
Tukumbuke katika kila tendo linalotokea liwe baya au zuri ipo roho yenye either nguvu ya ubaya au nguvu ya wema nyuma yake. Ila sasa ni wazi roho ya ubaya imetawala ulimwengu.

Kwa asilimia kubwa sana wazazi wengi tumekua chanzo cha hizi talaka. Nasema hivyo sababu hatulei watoto kwa kuwaandaa kuwa wawakilishi wetu bora na wazazi bora baadae.
Hili linaweza kuwa hatulifanyi kwa kupenda au kwa kujua ila tunalifanya kwa sababu na sisi tulitulipoingia kwenye hii taasisi hatukuwa tumemjua na kumshika Mungu, hatukujua vile tunatakiwa kuishi ili kuwa na uzao wenye baraka baada yetu.

Badala yake tumebaki tunakomaa kusomesha watoto kwa kwa elimu ya kupata vyeti kwa gharama kubwa na baadae kuja kuwapoteza kwa maumivu makubwa kiasi cha hata kutishia kuondoa uhai wetu wenyewe.

Sababu mila na desturi zetu wengi wetu tumeziacha au hata hatuzijui basi tupambane kushikilia imani zetu, tuhakikishe sisi na watoto wetu tunatembea kwenye misingi ya imani zetu.

Tukumbuke sisi wanadamu wote ni mitume wa Mungu na tumetumwa kuja kufanya makusudi ya Mungu kwenye hii dunia. Na kama tumeamua kuwa wazazi ili tuzae watoto basi tusijitoe ufahamu na kujikuta wa kisasa zaidi ya aliyetupa uhai na uzao.

Hukuna aliye fundi wa kulea ila tukishikana na viongozi wetu wa imani, tukaishi kama yanavyotuelekeza maandiko na kuhakikisha watoto wetu tunaambatana nao tunaweza kupunguza haya majanga maana tutaishi kwa taratibu za Mungu kupitia imani zetu, tutachumbia na kuchumbiwa kwa taratibu za Mungu, tutaishi kwa wenza wetu kwa taratibu za imani zetu.

Na ni heri kubwa sana kwamba sheria za nchi zinasaidia kuulinda uhai wetu kwa kuwezesha hili zoezi kuliko kushuhudia vifo kwa sababu watu wamegeukana maadui na wakashindwa kuachana

Cc Maghayo Jasmoni Tegga vita ya ndoa inaambatana na maadui ambao ni wanandoa wenyewe kwa kupenda Mali kuliko wenza wao, kupenda zinaa, kujihusisha na ushoga na usagaji.
100% nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe mama D

NB: Everyone anapaswa kusoma hiki ambacho umeeandika, esp. ile jinsia M
 
The thing is very serious kuliko tunavyofahamu.

Na sisi ndio wazazi tunawapeleka watoto wetu duniani kuharibika

Tumekomaa na elimu rasmi huku elimu ya Mungu tumeiacha. Kama wewe ni baba au mama na humpi Mungu heshma yake sahau kupata heshma na Ile furaha na fahari ya kuitwa baba toka kwa uzao wako.

Mungu atusaidie sana
 
Narudi Jasmoni Tegga ☺☺

Hatari sana BigTall

Taasisi ya ndoa Kati ya taasisi nyeti alizoanzisha mwenyezi Mungu mwenyewe imekumbwa na dhoruba kubwa sana.
Tukumbuke katika kila tendo linalotokea liwe baya au zuri ipo roho yenye either nguvu ya ubaya au nguvu ya wema nyuma yake. Ila sasa ni wazi roho ya ubaya imetawala ulimwengu.

Kwa asilimia kubwa sana wazazi wengi tumekua chanzo cha hizi talaka. Nasema hivyo sababu hatulei watoto kwa kuwaandaa kuwa wawakilishi wetu bora na wazazi bora baadae.
Hili linaweza kuwa hatulifanyi kwa kupenda au kwa kujua ila tunalifanya kwa sababu na sisi tulitulipoingia kwenye hii taasisi hatukuwa tumemjua na kumshika Mungu, hatukujua vile tunatakiwa kuishi ili kuwa na uzao wenye baraka baada yetu.

Badala yake tumebaki tunakomaa kusomesha watoto kwa kwa elimu ya kupata vyeti kwa gharama kubwa na baadae kuja kuwapoteza kwa maumivu makubwa kiasi cha hata kutishia kuondoa uhai wetu wenyewe.

Sababu mila na desturi zetu wengi wetu tumeziacha au hata hatuzijui basi tupambane kushikilia imani zetu, tuhakikishe sisi na watoto wetu tunatembea kwenye misingi ya imani zetu.

Tukumbuke sisi wanadamu wote ni mitume wa Mungu na tumetumwa kuja kufanya makusudi ya Mungu kwenye hii dunia. Na kama tumeamua kuwa wazazi ili tuzae watoto basi tusijitoe ufahamu na kujikuta wa kisasa zaidi ya aliyetupa uhai na uzao.

Hukuna aliye fundi wa kulea ila tukishikana na viongozi wetu wa imani, tukaishi kama yanavyotuelekeza maandiko na kuhakikisha watoto wetu tunaambatana nao tunaweza kupunguza haya majanga maana tutaishi kwa taratibu za Mungu kupitia imani zetu, tutachumbia na kuchumbiwa kwa taratibu za Mungu, tutaishi kwa wenza wetu kwa taratibu za imani zetu.

Na ni heri kubwa sana kwamba sheria za nchi zinasaidia kuulinda uhai wetu kwa kuwezesha hili zoezi kuliko kushuhudia vifo kwa sababu watu wamegeukana maadui na wakashindwa kuachana

Cc Maghayo Jasmoni Tegga vita ya ndoa kwa kizazi hiki inaambatana na maadui ambao ni wanandoa wenyewe kwa kupenda Mali kuliko wenza wao, kupenda zinaa, kujihusisha na ushoga na usagaji.

ZABURI 11:3​

"Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?"​

Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.
 
Na rate ya hii kitu inaongezeka kila kukicha. Na zikija zile sheria za magharibi za kumfanya mwanamke ashike mpini mazima. Ndo wanaume hawatooa tena. Shetani ameshamkumbuka rafiki yake WA bustanini ndo wanapiga story now kuwa asikubali kumsikiliza Mwanaume au kuwa chini ya Mwanaume na anamletea sheria za kumlinda. Kama ukitaka kuishi kwa raha kipindi hiki Usioe. Ukioa USIMPENDE huyo mwanamke Bali MJALI TU. Hameshajiweka as commodities now so let's use them as commodities [emoji489][emoji41]
 
Back
Top Bottom