Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama D siku hiz sijui kapotelea wapi?
Narudi Jasmoni Tegga ☺☺
100% nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe mama DNarudi Jasmoni Tegga ☺☺
Taasisi ya ndoa Kati ya taasisi nyeti alizoanzisha mwenyezi Mungu mwenyewe imekumbwa na dhoruba kubwa sana.
Tukumbuke katika kila tendo linalotokea liwe baya au zuri ipo roho yenye either nguvu ya ubaya au nguvu ya wema nyuma yake. Ila sasa ni wazi roho ya ubaya imetawala ulimwengu.
Kwa asilimia kubwa sana wazazi wengi tumekua chanzo cha hizi talaka. Nasema hivyo sababu hatulei watoto kwa kuwaandaa kuwa wawakilishi wetu bora na wazazi bora baadae.
Hili linaweza kuwa hatulifanyi kwa kupenda au kwa kujua ila tunalifanya kwa sababu na sisi tulitulipoingia kwenye hii taasisi hatukuwa tumemjua na kumshika Mungu, hatukujua vile tunatakiwa kuishi ili kuwa na uzao wenye baraka baada yetu.
Badala yake tumebaki tunakomaa kusomesha watoto kwa kwa elimu ya kupata vyeti kwa gharama kubwa na baadae kuja kuwapoteza kwa maumivu makubwa kiasi cha hata kutishia kuondoa uhai wetu wenyewe.
Sababu mila na desturi zetu wengi wetu tumeziacha au hata hatuzijui basi tupambane kushikilia imani zetu, tuhakikishe sisi na watoto wetu tunatembea kwenye misingi ya imani zetu.
Tukumbuke sisi wanadamu wote ni mitume wa Mungu na tumetumwa kuja kufanya makusudi ya Mungu kwenye hii dunia. Na kama tumeamua kuwa wazazi ili tuzae watoto basi tusijitoe ufahamu na kujikuta wa kisasa zaidi ya aliyetupa uhai na uzao.
Hukuna aliye fundi wa kulea ila tukishikana na viongozi wetu wa imani, tukaishi kama yanavyotuelekeza maandiko na kuhakikisha watoto wetu tunaambatana nao tunaweza kupunguza haya majanga maana tutaishi kwa taratibu za Mungu kupitia imani zetu, tutachumbia na kuchumbiwa kwa taratibu za Mungu, tutaishi kwa wenza wetu kwa taratibu za imani zetu.
Na ni heri kubwa sana kwamba sheria za nchi zinasaidia kuulinda uhai wetu kwa kuwezesha hili zoezi kuliko kushuhudia vifo kwa sababu watu wamegeukana maadui na wakashindwa kuachana
Cc Maghayo Jasmoni Tegga vita ya ndoa inaambatana na maadui ambao ni wanandoa wenyewe kwa kupenda Mali kuliko wenza wao, kupenda zinaa, kujihusisha na ushoga na usagaji.
Wao wanasema kifo si lazima kiwe cha kimwili. Usikute walimaanisha KIFO CHA KIFEDHA.Nakupenda, ntakulinda , shida zako zangu, ntakuvumilia kwa yote, ntatimiza wajibu.......Mimi na wewe kifo ndio kitatutenganisha😤 hajafa mtu na wanatengana.
Hakuna watu waongo Kama wanandoa
The thing is very serious kuliko tunavyofahamu.Tusipobadilika basi twafa
The thing is very serious kuliko tunavyofahamu.
Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.Narudi Jasmoni Tegga ☺☺
Hatari sana BigTall
Taasisi ya ndoa Kati ya taasisi nyeti alizoanzisha mwenyezi Mungu mwenyewe imekumbwa na dhoruba kubwa sana.
Tukumbuke katika kila tendo linalotokea liwe baya au zuri ipo roho yenye either nguvu ya ubaya au nguvu ya wema nyuma yake. Ila sasa ni wazi roho ya ubaya imetawala ulimwengu.
Kwa asilimia kubwa sana wazazi wengi tumekua chanzo cha hizi talaka. Nasema hivyo sababu hatulei watoto kwa kuwaandaa kuwa wawakilishi wetu bora na wazazi bora baadae.
Hili linaweza kuwa hatulifanyi kwa kupenda au kwa kujua ila tunalifanya kwa sababu na sisi tulitulipoingia kwenye hii taasisi hatukuwa tumemjua na kumshika Mungu, hatukujua vile tunatakiwa kuishi ili kuwa na uzao wenye baraka baada yetu.
Badala yake tumebaki tunakomaa kusomesha watoto kwa kwa elimu ya kupata vyeti kwa gharama kubwa na baadae kuja kuwapoteza kwa maumivu makubwa kiasi cha hata kutishia kuondoa uhai wetu wenyewe.
Sababu mila na desturi zetu wengi wetu tumeziacha au hata hatuzijui basi tupambane kushikilia imani zetu, tuhakikishe sisi na watoto wetu tunatembea kwenye misingi ya imani zetu.
Tukumbuke sisi wanadamu wote ni mitume wa Mungu na tumetumwa kuja kufanya makusudi ya Mungu kwenye hii dunia. Na kama tumeamua kuwa wazazi ili tuzae watoto basi tusijitoe ufahamu na kujikuta wa kisasa zaidi ya aliyetupa uhai na uzao.
Hukuna aliye fundi wa kulea ila tukishikana na viongozi wetu wa imani, tukaishi kama yanavyotuelekeza maandiko na kuhakikisha watoto wetu tunaambatana nao tunaweza kupunguza haya majanga maana tutaishi kwa taratibu za Mungu kupitia imani zetu, tutachumbia na kuchumbiwa kwa taratibu za Mungu, tutaishi kwa wenza wetu kwa taratibu za imani zetu.
Na ni heri kubwa sana kwamba sheria za nchi zinasaidia kuulinda uhai wetu kwa kuwezesha hili zoezi kuliko kushuhudia vifo kwa sababu watu wamegeukana maadui na wakashindwa kuachana
Cc Maghayo Jasmoni Tegga vita ya ndoa kwa kizazi hiki inaambatana na maadui ambao ni wanandoa wenyewe kwa kupenda Mali kuliko wenza wao, kupenda zinaa, kujihusisha na ushoga na usagaji.
ZABURI 11:3
"Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?"
Wazazi wanatafuta sana mali kwa nguvu zote na akili zote wamewekexa huko kuliko maadili, malezi na tabia za watoto wao. Matokeo ya kilichopandwa na kinachoendelea kupandwa lazima yaonekane tuu.
Hivi inakua ni kufanana sura au watu kuzoea kuwaona pamojaUkimpata soulmate Hakunaga talaka, soulmate baada ya mda mtafanana sura
Watafiti wameproof kufanana suraHivi inakua ni kufanana sura au watu kuzoea kuwaona pamoja
Yaani sura ya mme ifanane na ya mke 😀
not just when you are poor love is perish bro,if you remember last year,bill gate marriage ended up!!!!,,,,,,things are wase now adys.ah kule ndio kenyewe bwana alafu unakuta kitu sealed unafungua zawadi yako kwa furaha.