Uchaguzi 2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

Uchaguzi 2020 Kete muhimu kwa nafasi ya urais zikipewa ridhaa na Vyama vya Siasa hasa Upinzani

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kuna watu makini nadhani yawezakuwa wanabanwa na katiba ama hawana interest na siasa lakini wakiamua, wanauwezo mkubwa was kuleta ushindani na kushinda kwenye nafasi ya uraisi kwa UCHAGUZI wowote, watu hao nipamoja na
; 1. Prof Assad, former CAG
2. Salim Backressa, mfanya biashara
3. Mhammed Dewji, mfanya biashara
4. Lukuvi, waziri na MP
5.Askofu Fredrick Shoo
Hawa watu Ni smart Sana
 
#1 OK, the rest NO!
 
#1 OK, the rest NO!
Kwanini mkuu?
Ni sifa gani mbaya inayowafanya wasiwe na nafasi? Hakika watu Hawa wakisimama vyema, nakuhakikishia, wanasiasa wenu hawachomoi maana imeshafikia hatua watanzania tunajichagulia tu viongozi kwasababu ndiyo waliosimamishwa na vyama lakini hawatoshi kabisa
 
Viongozi wa dini wamekuwa vigeugeu (siyo wote) maana wamenyamaza kimya bila kukemea maovu yanayoendelea ya watawala wetu. Wafanya biashara achana nao, wao ni FAIDA kwa gharama yoyote ile!
 
Kisheria CAG haruhusiwi kugombea urais Wala kufanya kazi nyingine maana bado analipwa na serikali mpaka ukomo wa maisha yake
 
Back
Top Bottom