Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Hope the Photographer saved his/her life

-----------------
Picha hii ilipigwa mwaka 1994 huko nchin Sudan. Alikuwa mtoto mdogo asiye jiweza baada ya kukukosa lishe bora. Alikuwa akijikokota kuelekea katika sehemu ambayo walikuwa wanatoa msaada wa chakula, huku nyuma yake akinyemelewa na ndege ambaye upenda mizoga anayejulikana kwa jina la Tai ambaye naye alikuwa akitaka kumla.

Inasadikika mpigaji picha ilimchukua ziada ya dk 20 kupiga picha na kuipata aipendayo kuliko kutoa msaada kwa mtoto huyo. Kijana huyo alikufa muda mchache baada ya kupigwa picha hii na haikujulikana kama aliliwa na huyo ndege au la!! Watoto wengi wa Afrika wanakufa kwa kukosa lishe bora.

 

Attachments

  • Kevin Carter - Sudan Famine.mp4
    14.1 MB
Maskini wa Mungu,she/he might be dead already,this life bana,we are privileged we do not even know!So sad!
 
wanna feel happy today and rest of your life?

go out and help someone!


it is true comrade!
these things comes in our daily lives in a different ways,if you can open your heart and help the needs, for sure you will be granted happiness in your entire life!!
 
remember tones of food you dumped in a bin?

She died already. Mpiga picha naye alipoona alipiga picha na kumuacha bila kumsaidia naye inasemekana alijiondoa duniani, maana ilizunguka sana na akaambia 'yule mtoto uliyempiga picha na kumuacha alikufa na kuliwa na tai' baada ya wewe kumuacha.
 
Let the rulling class see whats in their hands they only know to travell abroad, partyin everthin
thanks comrade big up
 
remember tones of food you dumped in a bin?
Yaani, MUngu atusamehe. Kuna watoto wa rafiki yangu walikuwa wanaringa sana kula kwa sababu wanacho kila wanachokitaka mama yao aliwaonyesha hii picha na kuwaambia kwamba wao wanaringa kula wakati kuna wenzao ambao hawana hata kidogo. Tokea siku hiyo wanakula vizuri...
 
View attachment 20065

Hope the Photographer saved his/her life

the photo was taken in somalia during the 90s, the lad was crawling towards a UN food supplying camp while the vulture was waiting for him to die so the it could get its meal.

the photographer committed suicide few months after the incidence because the memory disturbed him/her very much and couldn't live with such a disturbing memory in his/her head.

the photo won the Pulitzer prize!!!!!!!!!:sad:
 
Maskini.. watoto wetu kula mpaka waimbiwe nyimbo
 
This is very challenging,it must be addressed!!
 
ndiyo maana nimejicomit kuwatumikia na kuwasaidia watu. for me this role in politics is a God given. tutafika tu ndugu zangu, tushikamane na kupiga vita umasikini, maradhi na magonjwa kwa nguvu zetu zote
 



inasisimua sana, so sad. we engage in suicide missions everyday without our notice, lo!
 
The vulture is waiting for the child to die so that it can eat him. This picture shocked the whole world. No one knows what happened to the child, including the photographer Kevin Carter who
left the place as soon as the photograph was taken.
Three months later he committed suicide due to depression.
 
She died already. Mpiga picha naye alipoona alipiga picha na kumuacha bila kumsaidia naye inasemekana alijiondoa duniani, maana ilizunguka sana na akaambia 'yule mtoto uliyempiga picha na kumuacha alikufa na kuliwa na tai' baada ya wewe kumuacha.

kwa kweli sikujua hilo wakati naweka thread hii..hata hivyo huyo jamaa alikuwa na roho ya kinyama sana,yaani alitaka akaelezee nini kwa picha hiyo huku nyuma akiacha ukweli kuwa kuna hatari inamnyemelea mtoto huyu dhoofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…