kwa kweli sikujua hilo wakati naweka thread hii..hata hivyo huyo jamaa alikuwa na roho ya kinyama sana,yaani alitaka akaelezee nini kwa picha hiyo huku nyuma akiacha ukweli kuwa kuna hatari inamnyemelea mtoto huyu dhoofu?
Tanzania hii kuna watoto chini ya miaka mitano wengi tu wanakufa kwa utapiamlo mkali.(marasmus na kwashiorkor) kwa kukosa milo kamili na huduma bora za afya. Mafisadi wanatumbua tu pesa i wish wajikomit suicide kama huyu photographer, MUNGU IBARIKI TANZANIA.