Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Kevin Carter, Mwanahabari aliyejiua baada ya kupiga picha watoto waliokuwa wakifa kwa njaa sudan

Mu-israel akiigia kwenye vita hajui mzee. mtoto. ama mnyama. Ama haki za binadamu. nasio kujifanya anajifanya. Naipenda israeli MUNGU aibaliki
 
5_44.jpg

NA HII JE WAIONAJE? KISIENI WAPI HAPO? SOMALIA?
Viogozi dio wamefanya hunyu mtoto afikwe na mambo haya mabaya.
 
Nani anashabikia? Kwa Kuuliwa huyo mtoto asiye na hatia ndio tunashabikia? Wewe kweli una moyo wa kibinadamu kweli? tujaalie huyo mtoto awe Mwanao au awe Mdogo wako kisha auliwe na Polisi au na Wanajeshi utafurahi wewe?

Kwa kuwafahamisha tu. Hapo huyo mtoto hajafa ila alikuwa akitambaa kwa kukosa nguvu kwa ajili ya njaa kali.
Huyo ndege 'Vulture' hapo nyuma alikuwa akijongea naye kila hatua akisubiri mtoto afe ili aweze kumla.
Mpiga picha wa hili tukio, nadhani ni 2005 au kabla, alijinyonga baadaye due to depression.
 
5_44.jpg

NA HII JE WAIONAJE? KISIENI WAPI HAPO? SOMALIA?

picha hiyo ilipigwa miaka ya 1984/85 nchini sudani, na mwafrica kusini, ni moja kati ya picha ya karne iliyopita. Jamaa aliyepiga picha hiyo alikuja kuwa tajiri baada ya kuiuza kwa moja ya magazeti makubwa nchini marekani. Tai anaonekana akimvizia mtoto aliyechoka kwa njaa kali, ili amdonoe,mpiga picha huyo alisubiri zaidi ya masaa ma4, akitegemea kupata picha bora zaidi. Mpiga huyo alikuja kujiua kwa kutumia aina ya sumu,iliyochanganywa na petrol,na kuwekwa ndani ya gari kisha gari kuwashwa,ndani ya chumba alichojifungia. Alivuta moshi uliochanganyika na sumu...alijiua baada ya kupokea shutuma toka kote ulimwenguni,wakimlaumu kwa kutomsaidi huyo mtoto,badala yake alijikita katika kupata picha. Mtoto huyo alikufa masaa machache baadae..
 
Mtoto anatufundisha kuwa tuwe majasiri mpaka kufa..

Huu ugomvi wa Israel na Palestina usitufanye wamatumbi tukatoana macho jamani..!
 
Kila nafsi itapata mauti kwa jinsi yake,lakini kila autoae uhai wa mwenzi naye atalipizwa vivyo hivyo,ubaya kwa ubaya na unyama kwa unyama.mtoto wa Gadafi hakuamini kwamba iko siku moja atakuja kuishi kama panya buku.roho za marehemu zipumzike kwa amani na mwanga wa milele uwaangazie= AMINA=
 
picha hiyo ilipigwa miaka ya 1984/85 nchini sudani, na mwafrica kusini, ni moja kati ya picha ya karne iliyopita. Jamaa aliyepiga picha hiyo alikuja kuwa tajiri baada ya kuiuza kwa moja ya magazeti makubwa nchini marekani. Tai anaonekana akimvizia mtoto aliyechoka kwa njaa kali, ili amdonoe,mpiga picha huyo alisubiri zaidi ya masaa ma4, akitegemea kupata picha bora zaidi. Mpiga huyo alikuja kujiua kwa kutumia aina ya sumu,iliyochanganywa na petrol,na kuwekwa ndani ya gari kisha gari kuwashwa,ndani ya chumba alichojifungia. Alivuta moshi uliochanganyika na sumu...alijiua baada ya kupokea shutuma toka kote ulimwenguni,wakimlaumu kwa kutomsaidi huyo mtoto,badala yake alijikita katika kupata picha. Mtoto huyo alikufa masaa machache baadae..

Yan bora alijiua mana kosa alilolifanya ni kubwa uwez kufurahia kupata picha nzur ya mwenzako anae teseka.
 
dlucksanga Yesterday 21:36
#22 Member Array

<dl class="userstats">Join Date : 8th November 2011
Posts : 23
</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 0
</dl>

[h=2]
icon1.png
Re: Picha iliyo waliza waandishi wa habari na wote waliyo iyona[/h]
kwanini kila kitu waislamu mkomeeeeeeeee na Dini lenu la shetani hiloooooooo

Ndugu yangu Goodlucksanga, watanzania waungawana tumekuwa na utamaduni wa kuheshimu imani na dini za kilammoja wetu. Haiingii akilini ww kujiona bora na mwenye haki kwasababu tu ya dhehebu au dini unayoiamini. Ushauri wangu ni kwamba hulazimishwi kuchangia hoja humu jamvini pia tumia busara katika kutafakari na kutoa mchango wako wa mawazo. Nimeshangazwa na kusikitishwa na thread yako. Sidhani kama kuna Kiongozi yeyote wa Ki-kristo mwenye busara na imani ya kweli anaweza kuita dini nyingine kuwa ni za mashetani. Kama unaona binadamu wenzako wamepotea/wanapotea ni wajibu wako kuwaelimisha ili nao wajiunge na imani yako,uhenda nawe ukaelimishwa na kugundua kuwa ww ndie uliyekuwa umepotea. Hitimisho, tuheshimu dini za kila mmoja wetu.
 
Kwa kuwafahamisha tu. Hapo huyo mtoto hajafa ila alikuwa akitambaa kwa kukosa nguvu kwa ajili ya njaa kali.
Huyo ndege 'Vulture' hapo nyuma alikuwa akijongea naye kila hatua akisubiri mtoto afe ili aweze kumla.
Mpiga picha wa hili tukio, nadhani ni 2005 au kabla, alijinyonga baadaye due to depression.

kula shavu kamanda, uko sahihi kabisa. matukio yote hayo mawili yali drwa alot of attention from the public
 
Back
Top Bottom